Recent content by Jeff52

  1. Jeff52

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa Tsh 300,000 na faida ya uhakika Tsh. 50,000

    Haha haha hiyo ni odds 1.16 😄😄😄 ila shauri yako.
  2. Jeff52

    JamiiForums Tanzania Biashara TV, pata tv pendwa Hisense kwa bei nafuu

    Hiyo 43 ni 4k?
  3. Jeff52

    JamiiForums Tanzania Taja rafiki ambaye alifariki dunia mapema sana na huwezi kumsahau!

    So sad mkuu.....Mgololo primary Kuna Moja ya Masanja Jr. Pia So sad.
  4. Jeff52

    JamiiForums Tanzania Taja rafiki ambaye alifariki dunia mapema sana na huwezi kumsahau!

    Rest in Peace Abdul......I always remember you bro✊️.
  5. Jeff52

    JamiiForums Tanzania Uliwezaje kuukubali ukweli kuwa sasa wewe ni mtu mzima? Bado sijui nimefikaje gorofa ya 30!

    Kaa kwa kutulia mkuu😂😂😂
  6. Jeff52

    JamiiForums Tanzania Hivi umefanikiwa kusamehe kila jambo linalokutokea au lililokutokea kwenye maisha yako?

    I have been thinking nini alijaribu kumaanisha hapo🤔
  7. Jeff52

    JamiiForums Tanzania Idea 3 za Biashara zinazoenda kuniweka kundi la Milionea by 2025

    Kwenye Car accessories
  8. Jeff52

    JamiiForums Tanzania Idea 3 za Biashara zinazoenda kuniweka kundi la Milionea by 2025

    Mkuu kwa Hiyo 15M unaweza kuwa na machine pia ya Printing?
  9. Jeff52

    JamiiForums Tanzania Nimesali sana, nimeroga na nimejiendeleza kitaaluma lakini mwaka wa tatu sina ajira. Je, nimebakiza nini?

    Mwenyezi Mungu ni mwema atafanya jambo katika maisha yako.........Ila mpaka hapo we ni mshindi umepita madarasa na vidato vingapi nyuma kwa hali hiyo, ni njia naamini hiyo kwako na atafanya wepesi kwa rehema zake.....Pole sana na usife moyo.
  10. Jeff52

    JamiiForums Tanzania Maswali ya interview NAOT na HESLB

    Kimya kimya[emoji1][emoji1][emoji1]
  11. Jeff52

    JamiiForums Tanzania TRA wananiambia niingie VAT

    Condition za mtu kuwa VAT registered moja wapo ni kuwa na taxable supplies over 100m kwa miezi 12 mfululizo au over 50m kwa miez 6 mfululizo....vinginevyo labda ingekua exempted Supplies
  12. Jeff52

    JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa kampuni za betting Tanzania, nini maoni yako?

    Kuongezeka kwa makampuni hayo...... ni mara nyingi kwa jambo lolote lile kuwa na Faida na hasara. Ni umuhimu tu kwetu sisi ku measure and minimise the risky lakini kwa hao jamaa kuna vitu vingi wamepunguza hasa kwa kusaidia hata maelfu ya vijana kujipatia ajira. Hebu imagine hao watu wakikàa...
  13. Jeff52

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Mimi na Boss Wangu

    In real life sikiliza watu ila usiamini watu🤔
  14. Jeff52

    JamiiForums Tanzania Zijue taratibu za kupima DNA, gharama ya kipimo ni Tsh.100,000/=

    Lea tu watoto utapata baraka za Mungu, achana na mambo ya biological father.
  15. Jeff52

    JamiiForums Tanzania TRA koma kuwadai wafanyabiashara Kodi za miaka ya nyuma except mwaka jana tu

    Unachokiongea hapo uko sahihi mkuu jinsi ya ku deal na walipa kodi inatakiwa akili ya ziada kwa sababu mifumo ya hizo biashara ipo tofauti na pia kwa TRA moja ya department yao kuu ni TAX investigation ambayo ndio inakuwa na kazi hiyo hasa me nachokiona ni jinsi gani hao officers wake na polite...
Back
Top Bottom