Recent content by Jeff

  1. Jeff

    Nahitaji Wakili/Mwanasheria aliyepo Mbeya Jiji kwa ajili ya kusimamia kesi yangu

    Ndio hapa natafuta WAKILI, mana nilimpata wakili mmoja lakini ameniingiza chaka. Alisema wataanza kuhesabu hakimu akisaini file la hukumu
  2. Jeff

    Nahitaji Wakili/Mwanasheria aliyepo Mbeya Jiji kwa ajili ya kusimamia kesi yangu

    Zikipita hizo siku 45 na bado hakimu hajasaini file inakuwaje hapo?
  3. Jeff

    Nahitaji Wakili/Mwanasheria aliyepo Mbeya Jiji kwa ajili ya kusimamia kesi yangu

    Habarini wana Great Thinkers, Natafuta wakili au mwanashetia aliyopo Mbeya. Nina mgogo wa ardhi/shamba ambao ulisikilizwa kwenye mahakama ya mwanzo na imetolewa hukumu. Sasa nahitaji kukataa rufaa mahakama kuu mjini Mbeya. Hivyo basi nahitaji wakili au mwanasheria aliyepo mjini Mbeya ili...
  4. Jeff

    Kutumia gari yenye plate number za nchi jirani

    Wadau habarini za leo Naomba kujuzwa je kuna uwezekano nikuwa na gari lenye plate number za nchi jirani na nikata kuitumia hapa nchini kwetu Tanzania kwa muda then ndio nibadilishe nmaba kwa kufanya usajili? Ni taratibu zipi zinatumika kutumia gari hiyo hapa nchini? Mana niliwahi kusikia kuwa...
  5. Jeff

    Naomba ushauri kuhusu Mazda MPV

    Mkuu nakusoma sana. Ipo siku nitakutafuta soon nategemea kujoin team mazda
  6. Jeff

    Okoa matumizi ya petrol na kuondoa shida za gari zisizotatuliķa kwa kufanya jambo dogo kwenye gari

    Kwa nini aina hizi za gari bei ya kusafisha iko juu?
  7. Jeff

    Ufadhili wa kilimo na fursa ya uwekezaji katika kilimo cha pilipili kichaa

    Kama sijakosea kuelewa. Unamanisha mnahiraji muwekezaji pia wa kununua hiyo drier na uhakika wa mzigo wa kukausha upo?
  8. Jeff

    Ufadhili wa kilimo na fursa ya uwekezaji katika kilimo cha pilipili kichaa

    Weka mawasiliano yenu hapa niwatafute
  9. Jeff

    Nimenusurika kufumwa dakika za mwisho

    Kumbe ndio sababu umeniblock eeeh
  10. Jeff

    Mrejesho: Kilimo cha mpunga Bahi

    Karibuni DENE ENTERPRISES CO. LTD kwa mahitaji yote ya bidhaa bora za nafaka kama mchele, mpunga, mahindi, maharage. Pia tunaagiza vifaa vyote vya kilimo. Tuagize nasi tutakufikishia kwa uaminifu kabisa kwa bei nafuu. Badili mfumo wako wa kilimo. Lima kisasa uongeze tija kwenye mazao ili upate...
  11. Jeff

    Kilimo cha mpunga Morogoro/Kimara-Mbeya

    Haya wakulima wenzangu. Karibuni DENE ENTERPRISES CO. LTD kwa mahitaji yote ya bidhaa bora za nafaka kama mchele, mpunga, mahindi, maharage. Pia tunaagiza vifaa vyote vya kilimo. Tuagize nasi tutakufikishia kwa uaminifu kabisa kwa bei nafuu. Badili mfumo wako wa kilimo. Lima kisasa uongeze tija...
  12. Jeff

    Kilimo cha mpunga Morogoro/Kimara-Mbeya

    Wewe uko kamsamba mkuu?
  13. Jeff

    Natafuta Dalali wa Masoko ya mazao

    Maharage unayo kwa wingi mkuu? Unaweza kuwa na kiasi gani cha maharage? Na ni aina gani ya maharage ambayo unayo?
  14. Jeff

    Powertiller (kubota) trekta ya matairi mawili iliyokuja kufanya mapinduzi ya kilimo cha mpunga Tanzania

    Karibuni Dene Enterprises Co. Ltd tuwaagizie kutoka China kwa mil 8.5 tu. Pia unaweza kutuagiza kifaa chochote cha kilimo nasi tutakufikishia kwa haraka. Wasiliana nasi instagram@deneenterprises www.deneenterprises.co.tz Au tupigie 06890880102
Back
Top Bottom