Hapana sha fanya kaz pale(Naomba kwa hili nisielezee sana kwa usalama wangu)
Ila Akipangwa na TCU aende tu huaga kuna feedback wanazipata japo hasara kubwa ni kupoteza mda[emoji17]
Hicho chuo ni kweli kina majanga sana.
Mara usajili hakina,wakufunzi feki wengi,Vifaa hamna hasa vya kidaktari ..nk
Wahenga walisema ngoma ikilia sana hupasuka kuweni makini na ndugu na jamaa zenu ktka hiki kipindi huenda ikawa ndo muda ngoma inapasuka.
NI MCHANGO TUU
Habari ya uzima mkuu nimepata dell precision m6300
video card ni NVIDIA Quadro FX 1600M - 256
MB
Hapa vip mkuu kwa game kama gta 5 na fifa 16 pia warcraft
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.