Halafu Tusijaribu Kudanganyana Hapa, Sheria haijasema Ni Lazima Aolewe Akiwa na Miaka 13, Bali sheria ya Ndoa inasema anaweza Kuolewa Akiwa na Miaka 13 ila kwa Ridhaa Ya Wazazi, kwa Hyo Wewe Mzazi Mwanao akitaka Kuolewa Akiwa na Miaka 13 na Ukaridhia Hilo Ni Tatizo Lako Na Sio Tatizo Ka Sheria...
What's about wale wanaoingia kwenye promise of marriage kabla ya ku attain age of majority?
Bearing in mind that in accordance to our laws a person under the age of 18 years can contract a marriage vipi kuhusu hao?
Kaka
Kitu cha kwanza wajiulize kwanini wanaruhusu akili yao kuamini kwenye uzushi wa mitandaoni? Pili hatuna utaratibu wa kupewa taarifa za hali za afya binafsi za viongozi na hutuwezi kuufanya kuwa utaratibu wetu leo hii sababu ya uzushi wa mitandaoni tutaonekana wapumbavu kwa wananchi na hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.