The 2019 NBA Playoffs

Itakuwa bomba sana Clippers, Lakers na Houston wote wawe healthy this coming season. Basketball tutakayoiona itakuwa ya kukata na shoka but IMO advantage Clippers. East hakuna kitu kama Bucks watabaki kama walivyo basi ni midabwada tu Western Conference especially kwa timu hizo tatu.

Natamani kuiona hii duo ikirudi, impe ring moja LeBron.

Rondo awe starter msimu huu, na asipate majeruhi, Lakers watatisha sana.
 
Sio LeBron ndio awape ring?

Nadhani yote ni sawa, mimi nimechukulia kwamba ikitoe wakapata ring sifa zitaenda kwa LeBron zaidi.

Hivyo itakuwa kama wao wamempa ring, halafu ukichukulia umri wake unasonga songa, hana spidi ya vijana.
 
Itakuwa bomba sana Clippers, Lakers na Houston wote wawe healthy this coming season. Basketball tutakayoiona itakuwa ya kukata na shoka but IMO advantage Clippers. East hakuna kitu kama Bucks watabaki kama walivyo basi ni midabwada tu Western Conference especially kwa timu hizo tatu.

Msimu huu ninahisi nitalipia League Pass ya msimu mzima.

Kutakuwa na games nyingi sana za kiushindani regular season.
 
ole wake kama wewe hujafika 6ft urefu uchangie huu uzi

walio below 5ft mna thread yenu kuleee ya wacheza Golf

Mtu upo size ya steve nyerere halafu una comment nini kwenye huu uzi?

Mtu unalingana na Jaba unataka kutuambia nini?

Tafuta vitu vingine vya kushabikia
 
Mkuu
Mimi Nina 6'8ft Hahahah
ole wake kama wewe hujafika 6ft urefu uchangie huu uzi

walio below 5ft mna thread yenu kuleee ya wacheza Golf

Mtu upo size ya steve nyerere halafu una comment nini kwenye huu uzi?

Mtu unalingana na Jaba unataka kutuambia nini?

Tafuta vitu vingine vya kushabikia
 
Mambo vipi wakuu? Wahenga walisema “kila zama na kitabu chake”. Nimekutana na hii table nimeshindwa kuamini!!! Kweli nimeamini hakuna marefu yasiyo na mwisho, nothing lasts forever.
Adjustments.JPG
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom