Recent content by Jeff Albert

  1. Jeff Albert

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu anayefanya kazi VodaCom

    ok
  2. Jeff Albert

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu anayefanya kazi VodaCom

    Ndo fikra zako wewe hizo ushatapeliwa sana kila sehem
  3. Jeff Albert

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu anayefanya kazi VodaCom

    Yan hapa haukupaswa kucoment kama syo muhusika umeandika vitu nisivyohitaji by the way nshapata na ishu ipo on discussion
  4. Jeff Albert

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu anayefanya kazi VodaCom

    [emoji3][emoji3][emoji3] wewe hapana
  5. Jeff Albert

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu anayefanya kazi VodaCom

    Mmmhhh Syo kweli unachokisema
  6. Jeff Albert

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu anayefanya kazi VodaCom

    Kama kuna Mtu humu Jamii Forum anafanya kaz vodacom Nina shida binafsi naomba Ani PM Namba yake kuna Mambo nataka Tuyajenge Yatakuwa na Manufaa kwangu pia kwake.....usipuuze Ujumbe huu
  7. Jeff Albert

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu wana JF: Nahitaji msaada wa laki moja

    Ni Pm namba yako nkupe ila Masharti Magumu sana Maana pesa sikuhizi ni Ngumu ntkaupa Laki moja urudishe 140 kama upo Tayari njooo inbox
  8. Jeff Albert

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wanaochekacheka

    we Mwenyewe kuspel.Majina Ya watu kumbe nawe ni Wale wale
  9. Jeff Albert

    JamiiForums Tanzania Msaada wa aina ya gari ya kununua

    BMW X7
  10. Jeff Albert

    JamiiForums Tanzania Sababu zinazopelekea wafanyakazi wa CRDB kuwa 'smart' tofauti na benki nyingine

    we Ndo Umenena Hawa wengine wananyapia nyapia tu hakuna Bank ambayo watu hawapo Smart
  11. Jeff Albert

    JamiiForums Tanzania Familia za marehemu Kapteni John Komba na Deo Filikunjombe

    Familia za watu wengine zinakuhusu nini fanya kazi
  12. Jeff Albert

    JamiiForums Tanzania Mmiliki wa mabasi ya Zakaria amenidhulumu mali yangu na kutishia kuniua

    ACHA KUPAMBA JUKWAA WEWE ULIPAKIA MIRUNGI SIYO VIATU ZAKARIA HAUSIKI NA MIZIGO WALA HATA STENDI HAENDI...UNA LAKO JAMBO M2 LAKI 8 Z HAWEZ ZULUMU HIYO KWAKE NI PESA YA VOCHA SEMA ULIPAKIA MIRUNGI UKIWA UMECHANGANYA KWENYE VIATU HATA POLISI HAUKWENDA WASINGEKUJIBU HIVYO
  13. Jeff Albert

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi wazuri huishia mikononi mwa wanaume wasio wazuri kisura

    Shangaa na wewe Facebook ishakuwa kama Jalala
  14. Jeff Albert

    JamiiForums Tanzania Clouds Fm acheni kuvulunda nyimbo za watu

    Unaongea Usilolijua unajuaje kama hawajaelewana na Sauti Sol ili wafanye hivyo
  15. Jeff Albert

    JamiiForums Tanzania TECNO C8 INAUZWA

    Nina Simu Tecno C8 nauza kam upo serious ni PM namba yako ntakupigia bei Tsh 230000/= SIMU IPO katka hali nzuri
Back
Top Bottom