Msaada wenu wana JF: Nahitaji msaada wa laki moja

Shekuna

JF-Expert Member
May 5, 2014
688
549
Wakuu habarini za Jumapili,

Kuna tatizo limenitokea nahitaji msaada wa pesa kama laki moja, kwa mtu anayeweza kuniamini na kunisaidia then nitarudisha kwa muda wa siku 10. Ninasoma chuo hapa Dar nina vithibitisho vyote.

Nimekosa msaada naimani humu JF ninaweza pata msaada.

Natanguliza shukrani.
 
Dah... Kwa uelewa wangu hakuna mtu mwenye shida ya Laki moja duniani.... Ila laki moja ni nguvu yakupata bidhaa au huduma....
Vipi kama unataka kutumia kama nauli ya kwenda mbeya na kuna mtu anaofa ya tiketi akaamua kukupa?
Vipi kama Unataka kutumia chakula cha kuku kumbe kuna watu gumu wana viwanda?...
Au Unataka kwenda kubet?
Funguka bana
 
Magu hakopeshi kesha sema tufute bure kichwani.... Vitambulisho ndio bond??? Kama unahati ya nyumba au kiwanja sawa na kurejesha isizidi hata dakika moja hati umeihalalisha si mali yako tena...no excuse mjomba hajalipwa mshahara! Au blah blah blah...

Binadamu ni nuksi ukimkopesha kizembe bila bond kubwa ndio umenunua ugomvi..
 
hamna mkuu uhakika wa kurudisha hela upo tena on date ila kwa sasa nimepata hilo tatizo nahitaji msaada
 
Wakuu habarini za Jumapili,

Kuna tatizo limenitokea nahitaji msaada wa pesa kama laki moja, kwa mtu anayeweza kuniamini na kunisaidia then nitarudisha kwa muda wa siku 10. Ninasoma chuo hapa Dar nina vithibitisho vyote.

Nimekosa msaada naimani humu JF ninaweza pata msaada.

Natanguliza shukrani.
Ni Pm namba yako nkupe ila Masharti Magumu sana Maana pesa sikuhizi ni Ngumu ntkaupa Laki moja urudishe 140 kama upo Tayari njooo inbox
 
hamna mkuu uhakika wa kurudisha hela upo tena on date ila kwa sasa nimepata hilo tatizo nahitaji msaada
Wakopaji wote ndio msemo wao... Hati ndio mchezo mzima no blah blah... Utasikia jamaa utadhani anadai millioni kumbe laki... Kuna taasisi zinakopoesha mbona uende huko utaaminika kwa vitambulisho ila mtu binafsi ngumu...
 
Ukikosa,tuwasiliane nami ijumaa na jumamosi nikupe,ila lete dhamana kama, laptop,au kingine chochote,sina riba
 
Wakopaji wote ndio msemo wao... Hati ndio mchezo mzima no blah blah... Utasikia jamaa utadhani anadai millioni kumbe laki... Kuna taasisi zinakopoesha mbona uende huko utaaminika kwa vitambulisho ila mtu binafsi ngumu...
hamna mkuu uhakika wa kurudisha hela upo tena on date ila kwa sasa nimepata hilo tatizo nahitaji msaada
Wakopaji wote ndio msemo wao... Hati ndio mchezo mzima no blah blah... Utasikia jamaa utadhani anadai millioni kumbe laki... Kuna taasisi zinakopoesha mbona uende huko utaaminika kwa vitambulisho ila mtu binafsi ngumu...
 
Wakopaji wote ndio msemo wao... Hati ndio mchezo mzima no blah blah... Utasikia jamaa utadhani anadai millioni kumbe laki... Kuna taasisi zinakopoesha mbona uende huko utaaminika kwa vitambulisho ila mtu binafsi ngumu...
inategemea na shida ya mtu mkuu
 
Back
Top Bottom