kaitamarogo
JF-Expert Member
- May 23, 2016
- 461
- 496
RFA KUNA DENIS MWASALANGA
RFA KUNA DENIS MWASALANGA
Dem wa TunechiHaaa. Haaa. Ngoja ifike. Nilikuwa najikumbusha movie ya LOVE DON'T COST A THING ya Christina Milan.
we Mwenyewe kuspel.Majina Ya watu kumbe nawe ni Wale waleClouds kuna
Fredwaa PB
Mussa Hussein LT
Kennedy the lemedy XXL
Kibonde Jahaz
Efm
Kuna lile kubwa jinga Gerald hando
Mkuu hili ni tatizo la kitaifa!yaani huwa inanikera sana.Sijui huko Shule tulienda kufanya nini hata irabu zinatushinda kutamka??hawa wa Redio Free Africa wananichefua sana.......pale wanapokosa L.....kwenye neno lenye R.....kama leo asubuhi....mdada anatangaza habari ya kifo anasema Orando......badala ya Olando.....(Orlando).......
inakifu jamani.....hata wewe William Bundala....una kitabia hicho.......wacha yule anaetangaza michezo sasa......
Halafu hurudirudia kutajana majina yao utadhani wapo mbalimbali kumbe wapo pamoja,utasikia wewe Asha acha hizo nae Asha utasikia wewe kaka Maharage acha tu teh teh,wajinga kweli na kazi yao kuiga mada zisizo na mshikoKumezuka mtindo Wa watangazaji Wa redio vipindi vya Asubuhi, wanachekacheka bila sababu, hata hawaeleweki, point hawana, wanatangaza kitu hakichekeshi wao wanacheka tu....its boring....naomba watangazaji wajifunze kutafuta facts kabla ya kingia studio na topic zao za Siku na waache kujichekesha....vipindi vya redio asubuhu sikuizi ni pumba tupu, kelele mwanzo mwisho, Kwa baadhi ya redio stations lakini
Hebu waandike kwa majini na mimi niwasikilize wanavyo cheka cheka.
Maana huwa napenda sana kuchekewa chekewa.
Mkuu unajua ulicho kiandika au unafurahisha kijiwe?we Mwenyewe kuspel.Majina Ya watu kumbe nawe ni Wale wale
Ukiwa unadrive back home au Kwa officesionagi haja ya kuskiliza redio ilhali nina internet,napata habari nazozitaka kwa wakati ninaoutaka na kutoka source tafautitafauti
Kiukweli redio huwa naskiliza kukiwa hakuna option nyengine kama hivyo upo barabarani,sisemi kuwa nivibaya kuskiza lakini kwa hali ya utangazaji na vituo vyetu kwa sasa naonaga uzito sana.mfano unakuta habari umeipata asubuhi jf ikiwa na picha na video sasa kuna haja gani ya kuja iangalia tena kwenye habari ya saa 2 usiku?Ukiwa unadrive back home au Kwa office
Wataje...Kumezuka mtindo Wa watangazaji Wa redio vipindi vya Asubuhi, wanachekacheka bila sababu, hata hawaeleweki, point hawana, wanatangaza kitu hakichekeshi wao wanacheka tu....its boring....naomba watangazaji wajifunze kutafuta facts kabla ya kingia studio na topic zao za Siku na waache kujichekesha....vipindi vya redio asubuhu sikuizi ni pumba tupu, kelele mwanzo mwisho, Kwa baadhi ya redio stations lakini