Natafuta mtu anayefanya kazi VodaCom

Jeff Albert

Senior Member
Jul 19, 2015
136
37
Kama kuna Mtu humu Jamii Forum anafanya kaz vodacom Nina shida binafsi naomba Ani PM Namba yake kuna Mambo nataka Tuyajenge Yatakuwa na Manufaa kwangu pia kwake.....usipuuze Ujumbe huu
 
Hujasema unataka mtu wa kitengo kipi. Mimi nafanya usafi vipi nije?
 
Uongo mwwingine uko wazi, atakaye respond ni kilaza, kwan hapo ulipo hujui ofc za voda ukawaona wafanyakazi hata uwatafte humu JF
 
Mkuu Nafanya kazi Vodacom,Unataka nini hasa? Kusoma Message za Mpenzi wako? Kujua namba alizopigiwa mpenzi wako? Umeibiwa simu unataka kujua nani anaitumia? Unataka kujua Vodacom wanaingiza Tsh ngapi kwa siku? Unataka Kujua share holders? Unataka kujua idadi ya wafanyakazi? Unataka kujua transaction za M-Pesa zote na jinsi ya kudukua taarifa za watu wa M-Pesa ili ufanye uharifu? kama Moja ya Hayo ni PM ila Weka Milioni 5 Ubaoni.
 
d83ccb16e3de0dbe8b58b965213e6bc0.jpg
 
Yan hapa haukupaswa kucoment kama syo muhusika umeandika vitu nisivyohitaji by the way nshapata na ishu ipo on discussion
 
Back
Top Bottom