Recent content by JeanPrierre

  1. J

    IPTL Saga: Ufafanuzi (utetezi?) wa Serikali juu ya Mkataba, Mawakili wa TANESCO na Akaunti ya ESCROW

    You can consolidate your views on this, in case you didnt see it before.
  2. J

    French Playground

    ouais t'avais raison , mais je pense que c'est unpeu tard de te repondre.
  3. J

    mwalim wa Kifaransa.

    Kwa kukushauri tu, nenda pale Alliance Française. Utaweza kujifunza na kuelewa kwa haraka kama uko serious. Mie sijasoma hapo lakini kuna jamaa yangu ambae alisoma pale na kwa sasa anaongea vizuri. Ila kama ndo unaanza kabisa, ndani ya miezi sita utakuwa unaongea vizuri ila kama unafanya...
  4. J

    DNA Test Ascertains 60% of 250 Disputed Sample of Men to be Non-biological Fathers

    Hii imekaa vizuri lakini wasi wasi wangu ukiwa na mtoto ambaye tayari umeshamgaramikia kwa mfano umemsomesha tayari mpaka amefika secondary na ukampima DNA ukagundua siyo wa kwako utafanya nini!!!. Je utaacha kumsomesha au utaendelea kumsomesha mpaka amalize form six. Kumbuka unaweza kuwa mtoto...
  5. J

    DC Ngara ashiriki katika utapeli

    Kwa kweli sioni kivipi DC anahusika na hili suala maana kualikwa kama mgeni rasmi na kukabidhi zawadi siyo kwamba ndo utafahamu kila kitu kinachoendelea. Kama walikabidhiwa siku ya mashindano na baadae wakanyang'anywa, nafikiri wao alitakiwa kutoa taarifa kituo cha polisi au hata kwa DC maake ni...
  6. J

    Nimesingiziwa mimba na mama Mkwe

    Kitu kimoja cha uhakika ni kuwa ulimgegeda mama mkwe, hayo mengine ya mimba hatuwezi kujua.
  7. J

    Rwanda inahitaji maombi

    nahisi kwa sasa wahutu hawana haki yoyote maake kila watoa habari lazima wagusie mauaji ya genocide yaliyolenga watusi kana kwamba hakuna wahutu waliouawa!!!!!!!.
  8. J

    Uhalali wa bunge la katiba kuja na rasimu mpya ya katiba

    Kitu kimoja cha msingi ambacho tunatakiwa kukijua ni kuwa Rasimu ya Katiba ( kama nilivyo isoma na kuielewa mimi) imejengwa katika misingi ya Serikali tatu. Kuanzia bunge la JMT (wabunge 75 tu), mambo ya Muungano 7, na mfumo wa Serikali ya JMT etc. Kwahiyo kama Serikali 3 hazitapitishwa maana...
  9. J

    Kama ni huyu mbakwaji na kapuya, kapuya is innocent, kabisaaa!

    Ukiwa mwongo jaribu kukumbuka vitu vidogo vidogo ulivyosema mwanzo. Kwa taarifa zilizopo ambazo hata Kapuya mwenyewe kazibitisha, kwa sasa binti ana miaka 16, kwahiyo basi 1999 alikuwa na umri wa miaka 2. Bila kupepesa macho hapa Kapuya hachomoki labda kwa kudra za GAMBA tu otherwise.
  10. J

    Jifunzeni kifaransa cha haraka haraka mkafanye kazi gabon hasa viajana wavijiweni

    Bien, je l'ai appris en France pendant six mois puis j'ai passé mon Master en français. C'était dur au debut mais ça tout marchait doucement. C'est bien de connaitre plusieurs langes pour s'amuser et pour fair de l'argent.
  11. J

    Jifunzeni kifaransa cha haraka haraka mkafanye kazi gabon hasa viajana wavijiweni

    C'est une bonne idée mais il faut beaucoup du courage!!!!!. Moi je vois qu'il y a toujours encore des choses affair dans notre Pay si tu veux vraiment te debrouiller. Bonne chance pour ces qui voulez y'aller
  12. J

    Hii ya wanafunzi wa Rwanda ni fitina au vilaza

    Hii mbona inawezekana, hasahasa kama wengi wao walikuwa College of Engineering UDSM. Nakumbuka kuna kipindi kulikuwa na wanafunzi kutoka Mozambique, Zambia etc wengi wao walidisco. Sasa sijui ilikuwa ni ugumu wa kitabu au walikuwa wanapenda kujirusha. Ila kwa ufupi, kwa utaratibu uliopo kwenye...
  13. J

    Wabunge wa CCM Wakibadili Mawazo Bungeni Nitarudisha Kadi yangu ya CCM Siku Hiyo Hiyo!!

    Duh hiki kituko afadhali na RITZ1, hawa ndo watoto wa viongozi wetu wanaotegemea washike madaraka. Poor TZ!!!!!!
  14. J

    Msaada: Mahali kwa wanyiramba

    Jiandae kwa: Jembe bila mpini (hii ni kwa kaka inategemea wako wangapi), vitenge vya shangazi(inategemea mashangazi wako wangapi), makoti ya wajomba (inategemea wako wangapi), sefuria kubwa (lenye ujazo kuanzia ndoo moja na nusu), blanket la bibi, ng'ombe si chini ya tano (can be converted into...
  15. J

    Dr. Kafumu ageuka kuwa mtetezi wa migodi inayotuibia mchana kweupe

    Something need to be done, for more than ten years Barrick has never operated under profit!!!!!. Only in TZ
Back
Top Bottom