Nimesingiziwa mimba na mama Mkwe

Nimesingiziwa mimba na mama Mkwe

Kitu kimoja cha uhakika ni kuwa ulimgegeda mama mkwe, hayo mengine ya mimba hatuwezi kujua.
 
mi nadhani hii stori ni ya uongo ya kutunga,KWA umri wa mama mkwe ulioutaja inawezekana mama mkwe ameshafikia MONOPAUSE kwahyo uwezo wa kuwa mjazito ni mdogo sana
 
Bujibuji njoo na huku kwetu kuna bibi anatafuta vijana kama wewe wenye sifa za Zohan.
 
rubbish post-pinda.jpg
 
Bujibuji hii ni ndoto yako ya jana usiku?
 
Last edited by a moderator:
kaombe court order ya kusubiria huku unasubiri huyo bibi ajifungue maana hilo ni dili la huyo mama mkwe na mkeo wanataka mali.ts sooo obvious
 
Kuna mawili, Moja Story inawezakuwa ya uongo ama ni kweli umehusika. Kama ni uongo subiri ajifungue mwende kwenye vipimo (DNA), Kama story ni ya kutunga, njanja giza na uongo wako
 
Weka picha

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Bujibuji, wewe utakuwa ni chadema na hayo ni madhara ya gongo.
 
Last edited by a moderator:
heeeh! uwiii nahc b mdashi kakupenda huyoo! sio bureeee! nahc mwanae huw anamuadithia unavyomnanii hihihih
 
Its true that wonders does never end but not of that kind. Huyo bibi ana lake jambo. Kama alibakwa mbona hakutoa taarifa zozote? Huyo bibi mwongo wa kutupwa. Amezoea umalaya na ndio maana hajaolewa.
 
Back
Top Bottom