Recent content by Jcanah

  1. Jcanah

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo huu ni wizi wa wazi kabisa

    bado tuna safari ndefu kuyafikia maendeleo ya kwel yalio na usawa na haki.
  2. Jcanah

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe asema Sumaye hajatoa masharti ya kupewa nafasi ya Ukatibu Mkuu

    yan awam ya 5 kiboka yao
  3. Jcanah

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wafungiwa nje

    Aaaaaah!!
  4. Jcanah

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Kiongozi Vs. Waziri Mkuu, nani mwenye mamlaka/mkubwa kwa mwenzie?

    Hapana bwana katibu mkuu hana mandate takuingia katika baraza la mawaziri. even manaibu mawaziri hawaingii katika baraza la mawaziri. ndivyo nnavyojua hvyo.
  5. Jcanah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tuache ubwege

    Maisha n vipaumbele tuu. ukiona mtu anaemtanguluza mwanamke kwanza zaidi ta mama ake mzaz jua hcho ndo kitu amekipa kipaumbele na wala hutakiwi kumshangaa bali nikutumia majukwaa kama haya kuelimishana na kuuona upande wa pili wa maisha. achilia mbali mama mm naona nyumbani kwa baba na mama ndo...
  6. Jcanah

    JamiiForums Tanzania Najuta kufanya usafi jana

    sio ujinga mkuu miundombinu ni michache lakn worry out mwakan mambo yatakuwa sawa. under Mh. Mgufuli.
  7. Jcanah

    JamiiForums Tanzania Errors in genesis

    mumuogope Mungu. huwezi hata siku moja kuichambua biblia hasa kuhusu uumbaji kwa kwa kutumia fikra za kawaida za mwanadamu. kumbuka we are talking about GOD guyz.
  8. Jcanah

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi huru: Jakaya Kikwete anafuata nyayo za Rais Vladimir Putin?

    Very true.
  9. Jcanah

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akutana na wafanyabiashara, atoa siku 7 kwa waliokwepa kodi kujisalimisha na kulipa

    Magufuli chaguo langu. endelea baba kuyapasua.
  10. Jcanah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Badoo & Eskimi pango la wazinzi

    Vipi si ujipange ww mwenyewe ukamalizane nae unamaana gan kutushirikisha na ss!?????????
Back
Top Bottom