Wanaume tuache ubwege

Wanaume tuache ubwege

Ni raha na karaha kwa wakati mmoja...

Yeah you are right, I understand.......... kila kitu kina raha yake na karaha yake. Advantages and Disadvantages if a thing.
 
Kweli... kwani nyie mmezaliwa wangapi mpaka utamani maisha ya mwingine? Ni wewe ni number gani?
 
tumezaliwa wengi ila hatujafika 10, hata sikumbuki mie ni wa 5 au wa sita..... nafikiri wa 5 kuzaliwa hadi nianze kuhesabu si unajua uzee nao memory inapotea heheheheee.

Sitamani ila nimekuonea raha hadi wivu.
 
Kumi daah mpaka raha mkikutana. Uzee unanzia miaka 55... kwani ushafika huko?
 
Maisha n vipaumbele tuu. ukiona mtu anaemtanguluza mwanamke kwanza zaidi ta mama ake mzaz jua hcho ndo kitu amekipa kipaumbele na wala hutakiwi kumshangaa bali nikutumia majukwaa kama haya kuelimishana na kuuona upande wa pili wa maisha.
achilia mbali mama mm naona nyumbani kwa baba na mama ndo pansatahili kipaumbele kwanza then ndo mwanamke afuate.
mm in short najali mtu ambae bond yetu imeunganishwa kwa damu kwanza then ndo wengine wanafuata. asante.
 
Kumi daah mpaka raha mkikutana. Uzee unanzia miaka 55... kwani ushafika huko?

Hhahahahahaa bado miaka 10 ndo nifike huko ila dalili za uzee zimeshanianza.

Ofcourse kuna raha na karaha yake kuzaliwa wengi, ila sio kumi nimekwambia tumezaliwa chini ya kumi.
 
Una... bado mdogo kumbe... upo kwenye udada... na wewe zaa kumi..
 
Usisahau kwamba mademu wanachezea kichapo cha hatari !!ie mbuzi kagoma kwenda and the like
sawa kabisa
tena unakuta ni nyumba ndogo
wanaume wanahonga Gari
wanahonga nyumba
sembuse hako kasimu
unafanya michezo na watoto wa kike
wanatoa vitu ambavyo kwa Mama wala mkeo hupati
 
Dah kweli hata mm ilishanitokea pale graduate alipochukuwa smart phone na tukaachana iliniuma sana nakafikili hiyo pesa walau angekula mama au mshua ila naomba isije kujirudia tena mwenyez mungu niongoze
 
Una... bado mdogo kumbe... upo kwenye udada... na wewe zaa kumi..

Hhaahahhaaa utapigwa mitama na watu humu ukiniita mie mdada, mie sio mdogo ni mzee bana tena ni kibibi makunyanzi yameshaanza nijia usoni si unajua athari ya kupaka mikoroko tangu enzi za JRIBU hadi kwenye karolaiti nimoo saa hizi naona mkorogo umeanza kunidundia.

Kwa umri huu line ya kuzaa imeshapita saa hizi nikisema nijaribu kutundika kiumbe humu tumboni mwangu na mikorogo niliyopaka najitfutia kifo tuu. Nashukuru Mungu hakunijaalia mtoto na naona imeandiokwa niondoke humu duniani bila mtoto.
Sifikirii wala sitamani kuzaa saa hizi nakula maisha tuu napo kuna raha yake japo wenye nao wanasema pia wana raha yao hehehehee. Raha na karaha zipo kila mahali.
 
Ni simu tu? Si anakula, analala pazuri na matibabu anapata?
Simu ya kupangusa ina thamani gani kwake?
 
Hhaahahhaaa utapigwa mitama na watu humu ukiniita mie mdada, mie sio mdogo ni mzee bana tena ni kibibi makunyanzi yameshaanza nijia usoni si unajua athari ya kupaka mikoroko tangu enzi za JRIBU hadi kwenye karolaiti nimoo saa hizi naona mkorogo umeanza kunidundia.

Kwa umri huu line ya kuzaa imeshapita saa hizi nikisema nijaribu kutundika kiumbe humu tumboni mwangu na mikorogo niliyopaka najitfutia kifo tuu. Nashukuru Mungu hakunijaalia mtoto na naona imeandiokwa niondoke humu duniani bila mtoto.
Sifikirii wala sitamani kuzaa saa hizi nakula maisha tuu napo kuna raha yake japo wenye nao wanasema pia wana raha yao hehehehee. Raha na karaha zipo kila mahali.

Lol!! Nani wa kunipiga mitama humu ndani. Uzee ni 55 na uwe na sifa ya kustafishwa kinguvu, huo ndiyo uzee. Kuna wanawake nafanya nao kazi wana 60 lakini, duu kama wana 30 vile. Kwa nini hujazaa mpaka sasa? Umetoa mimba ngapi? Kama ni nanilii yani nanilii namanisha nanilii basi huwezi zeeka mapema..
 
Wewee unakoelekea sasa unataka kupigwa samasoti...................

Fatilia nyuzi za nyuma utapata majibu ya maswali yako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom