Vipi kuhusu Lowassa kuwa MKT?
Mbowe anaanza kujichanganya.kwani anapewa au kamati kuu ndiyo inamchagua katibu
Kwani hii mada mmeweka mjadili wenyewe Malofa, Wapumbavu na Manyumbu?Hangaika na chama chako mkuu...
wewe ukilala unaota CDM,, ukiamka unawaza CDM..
Acha Ungese bhana
kwa lipi kwasababu baraza la mawaziri ni bovu kama muhongo amerudi hasara tuliopata ya bilion 300 kwa kashifa ya esrcow alikuwa kipovu wakati wanakata pesa sio ya ummayan awam ya 5 kiboka yao
Mbowe hajawahi kusema ukweli hata siku moja. Mkwanja bil.10 amelamba kwa Lowassa, alituambia?
Kwani hii mada mmeweka mjadili wenyewe Malofa, Wapumbavu na Manyumbu?
Lisemwalo lipo na kama halipo laja.Njia ya mwongo fupi.Tusubiri time will tell.