Recent content by jbmukulu

  1. jbmukulu

    Msimamo wa ligi kuu NBC msimu ujao, kulingana na wachambuzi

    Shabiki wa Utopolo utawajua tu
  2. jbmukulu

    Simba SC Uwezekano wa Kutolewa upo

    Ukweli mchungu kumeza!.. Asec na Barkene wana mpira mkubwa kuliko ssc.. ukiwaangalia kwa umakini utagundua hilo.
  3. jbmukulu

    Kwa mnaojua, nyama ya kasa ipoje kulinganisha na nyama nyingine?

    Nauliza swali hili kwasababu nyama ya KASA imekuwa inasababishia watu vifo karibu kila siku lakini watu waendelea kuwafanya kitoweo. Je nyama yake ni tamu kuliko ya samaki, pork, mbuzi au ng’ombe?
  4. jbmukulu

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Naombeni mnishauri jinsi ya kuacha betting... naliwa nasema sichezi tena nakaa siku moja tu narudi, naliwa tena. Yani nikimla 10k au 20k naona kama nimekula 1000k.. Nimejaribu kuacha hii kitu nimeshindwa kabisa
  5. jbmukulu

    Newcastle United na safari ya kuwa Timu Tajiri zaidi Duniani

    Arsenal msimu huu 2021/2022 wakizingua kutokuingia top 10 nitajiunga na Newcastle utd. Maana kwa msimu 2022/2023 United itakuwa moja tu. Nayo ni Newcastle
  6. jbmukulu

    Msaada, jinsi y a kupata TIN namba

    Vile vile huna leseni ya biashara
  7. jbmukulu

    Aina gani ya friji ni nzuri?

    Gas imeisha, tafuta fundi
  8. jbmukulu

    Unamuachia kijana wa car wash funguo za gari yako?

    Ile ya Dodoma last week ilikuwaje? Maana nasikia kijana wa car wash aliipiga mzinga Ford double cabin ikasambaratika, dogo wa car wash akaanza kuigiza u chizi. Aisee kuacha funguo ni kitu cha kufikiria mara 2. Mimi huwa naacha lkn ni mazoea tu.
  9. jbmukulu

    Dumu la lita 20 mafuta ya kupikia sasa ni Tshs 90,000, bado yanaenda juu

    Huku kwetu 10lts ni tshs. 46,000 bei ya jana tarehe 6.8.2021
  10. jbmukulu

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nashukuru nimepata kiremote/king'amuzi kingine japo imechukua muda mrefu. Maana nilikipeleka 25 February, 2021, ndio nimepewa kingine wiki hii 13 July.
  11. jbmukulu

    Hivi huu ni upole au mimi ni boya?

    Hizo tabia ninazo zaidi ya nusu yake.. kwenye kuongea mbele za watu hasa kijiweni. Maana ilikuwa kila nikitaka kuongea wengine wanaongea. Ila kupambana nayo ni kujichanganya na uwe na mada ambazo ukiongea inabidi uanze na stori fupi fupi(story telling) tumia style hii. Tafuta vistori vya kijanja...
  12. jbmukulu

    Vyombo vya habari duniani mwaka 3012

    Umetabiri sana, ila naona kama itakuwa mapema zaidi.... Natamani niwepo
  13. jbmukulu

    Ni kwanini mji wa Moshi hauna taa za barabarani za kuongoza Magari?

    Moshi kuna round about kwenye makutano ya barabara kubwa, Hii ndio maana hamna mataa ya kuongozea magari. Round about ni mbadala wa trafic lights.
Back
Top Bottom