Dumu la lita 20 mafuta ya kupikia sasa ni Tshs 90,000, bado yanaenda juu

Ni tsh.100,000 fursa ndio hiyo zalisheni alizeti na mbegu zingine za mafuta.

Demand kubwa kuliko supply,wewe nae ni kenge tuu bei ya mafuta ya kula na sukari zilianza kuharibika toka 2019 na ndio maana serikali ikaanza kuhamasisha kilimo cha mawese .

Nunua mafuta mengine yasiyo ya alizeti mbona bei ni kawaida ?
 
Mwaka jana ilikuwa bei gani?
 
Mambo ya uchumi wa kati hayo. Rais na Wabunge UCHWARA hawakatwi kodi.
Kwa style tunayoenda nayo Magufuli lazma akumbukwe bila kupenda.

1. Tozo
2. Bei ya vitu kupaa
3. Serikali haina kauli 1 tena.
4. Wakazi wa Dodoma
5. Wenyeji wa Chato

Yaani mwanaume mwanaume tu. Wengi tulimchukia sana Magufuli lakini hata kama hatokumbukwa lakini kimoyo moyo lazma umkumbuke.
Ile hali ya JK imesharudi rasmi ndani ya utawala.
  • Toka serikali iliposema inafatilia mambo ya tozo hakuna mrejesho mpaka leo.
  • Toka tume ya kuchunguza kuungua kwa soko la Kariakoo hatujapata mrejesho wa tume hiyo na siku za nyongeza 7 walizopewa sasa tupo zaidi ya 21 hakuna wa kuuliza watu wako bize kusafiri tu.

Kweli sikumpenda JPM ila namkumbuka tu sio kama napenda ila nalazimika kumkumbuka.
 
hivi unauhakika wengi walimchukia JPM? wakati akifanya ziara mikoani ilikuwa ukiangalia, au mikutano yake. msiba wake uliona watu pamoja na viongozi waliomzika. TZ hakuna rais aliependwa kama JPM
Aisee mlipenda nyie wa kanda ya kwao sisi tulimuona adui mkubwa sana sana !!! Kujaa mikutanoni ni kukosa kazi tuu na kampeni ya chama chake ila hakufaa kabisa kuwa ruler asante Mungu
FB_IMG_1620178106667.jpg
 
Usitukumbushe yaliyopita. Utawala wa magufuli mfuko wa cement hapa dar tulikua tunauziwa elfu 18 acha kabisa
 
Usitukumbushe yaliyopita. Utawala wa magufuli mfuko wa cement hapa dar tulikua tunauziwa elfu 18 acha kabisa
Watumiaji wa sementi ni wangapi TANZANIA tofauti na mafuta ya kula?
 
Hilo dumu nasema liuzwe hata laki mbili watu akili zao zikae sawa.
Bila hivyo watu wataendelea kuchagua na kushabikia ujinga.
 
Back
Top Bottom