Unamuachia kijana wa car wash funguo za gari yako?

huu ujinga watu wengi sana wanafanya. Ni hatari sana. Kuna kijana aligonga gari ya mtu ukutani ikabidi mwenye car wash agaramie matengenezo
 
1. Amekuonyesha leseni yake?
2. Unamfahamu?
3. Amekuandikia risiti?
Unamuachia funguo za gari ya mamilioni mtu usiyemfahamu? Kuna siku utaitafuta gari kwenye mifuko ya suruali yako?
Halafu hiyo pointi ya tatu...,sentensi ya mwisho,hivi hilo ni swali au nn???!
 
Sisi wenye pikipiki tunaziacha zikiwa kwenye free gear basi,tunnaenda kupata lunch,tukirudi tunalipa hela tunaondoka na pikipiki.
 
hahahahahaaaa kweli aisee.....mi huwa nawashangaa sana watu wanaofanya hiyo kitu
 
1. Amekuonyesha leseni yake?
2. Unamfahamu?
3. Amekuandikia risiti?
Unamuachia funguo za gari ya mamilioni mtu usiyemfahamu? Kuna siku utaitafuta gari kwenye mifuko ya suruali yako?

Kwa gharama mara 100,000 ya kitu kilichomfanya amwachie funguo kijana asiye mjua (mfano anamwachia funguo ili kuwai ofa ya bia kwa rafiki)
 
Utakuta anamwachia funguo car wash hata hajafikisha 18 years. Dogo anaisogeza sogeza,akija kugonga analalamika
 
Hata we mleta Uzi kama una Gari ufunguuo unamuachia muosha Gari...unless unaoshea nyumbani!
 
Ningetoa ushuhuda wa yaliyonitokea juzi ila nitablow identity ila ndio hicho mtoa mada ulichosema.
Ungesema kwa faida ya wengi kwa kubadili uhalisia kidogo bila kutaja ain ya gari mahala husika
 
Ile ya Dodoma last week ilikuwaje?
Maana nasikia kijana wa car wash aliipiga mzinga Ford double cabin ikasambaratika, dogo wa car wash akaanza kuigiza u chizi.

Aisee kuacha funguo ni kitu cha kufikiria mara 2. Mimi huwa naacha lkn ni mazoea tu.
 
Back
Top Bottom