Recent content by jb wa kanyigo

  1. J

    JamiiForums Tanzania Naomba Ufafanuzi Mwigulu Nchemba kuvaa sare za jeshi la Polisi

    Awe kama Jaffo yeye kila sehemu yeye anatinga Suti tu!
  2. J

    JamiiForums Tanzania Naomba Ufafanuzi Mwigulu Nchemba kuvaa sare za jeshi la Polisi

    Awe kama Jaffo yeye kila sehemu yeye anatinga Suti tu!
  3. J

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu ni mmoja wa viongozi wa gazeti la RAIA Tanzania? mbona halimfananiye?

    Raia Tanzania halipo mikononi mwa Kina Ulimwengu tena liliuzwa kwa TSN Group of companies
  4. J

    JamiiForums Tanzania Dr. Rajabu Rutengwe, Mkuu wa mkoa wa Morogoro aliyetemwa, amwangukia Rais

    Huyo Dr Kebwe nae alikuja kulialia pale Hospitali ya Kairuki wakampa darasa la kufundisha Health environment tukawa tunashangaa kutoka unaibu Waziri kuja kulipwa milioni Mbili na nusu! akawa anakuja na bajaj
  5. J

    JamiiForums Tanzania Lowassa ni nani CHADEMA?

    Ni Kiongozi wa Chama kama yule Kiongozi mwingine wa Chama
  6. J

    JamiiForums Tanzania Nassari atoa mil.45 kwenye pesa ya gari la mbunge zisaidie kununua dawa na Vitanda

    Nasikitika eti mtu anaenda nunua vitanda China wakati vingeweza tengenezwa na mafundi wetu hapa na ikatoa ajira kwa Watanzania
  7. J

    JamiiForums Tanzania Suluhisho la foleni katika jiji la Dar

    Nadhani kasome kwanza maana ya makao makuu ya nchi! kiutaratibu wizara zote zinakuwepo pale ambapo ofisi ya Rais ipo ili iwe rahisi kwake kuwa na vikao na watendaji wake mara kwa mara hivyo hivyo kwa mashirika makubwa ya Umma. Suluhisho la foleni ni miundombinu tu
  8. J

    JamiiForums Tanzania CCM Tusifanye Makosa Tunatakiwa kuwa na Naibu Spika Msomi Hakuna Namna!

    Le mutuz naomba cv ya Maji Marefu,Kishimba na Lameck Airo
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mwigulu ahojiwa masaa matatu na TAKUKURU

    Ramesh Patel mtia nia Ukonga nae nguvuni
  10. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Obama makes first trip to Kenya as President (July 2015)

    Mizinga atapigiwa kesho kiitifaki rais hawezi kagua gwaride usiku hata hapa inatokeaga mara nyingi tu mizinga kupigiwa state house
  11. J

    JamiiForums Tanzania MY ANALYSIS: CCM, Rais JK, Lowassa, Membe, Magufuli na Matokeo ya Dodoma!

    Le mutuz uchambuzi wako mzuri ila ulipokosea ni kusema Magufuli alikuwa ni chaguo la JK this is wrong JK's family ilikuwa ni Team Membe from mama To Ridhiwani up to Rashid usijidai hujui hili le big show na waliomchagua Magufuli ni wale wa Lowassa baada ya kuapa kwamba Membe hatakaa achukue nchi...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Azam Media mnastahili pongezi

    Azam wanastahili Pongezi huwa nilikuwa naona aibu sana nikiangalia TV za Kenya hasa Citizen wanavyosoma habari nikawa natamani ije itokee Tanzania Azam wameweza
  13. J

    JamiiForums Tanzania John Mnyika, Paul Makonda na Humphrey Pole Pole kuwasha moto wa Katiba Ubungo Plaza leo

    paul makonda ulimi mzito kuongea hawezi
  14. J

    JamiiForums Tanzania DIASPORA yupi aliyefanikiwa kiuchumi, kisiasa na kijamii awe mfano?

    le big show mpaka leo anaishi kwenye nyumba ya babake pale sea view....hata mzee hawezi jiachia na mbebs wake
  15. J

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa atembelea msikiti wa Mtambani ulioungua, ahuzunishwa kwa yaliyotokea

    naona membe ye ameanza kupigiwa kampeni eti na steve nyerere......walioteseka nami sasa safari ya matumaini ndio inaanza bashe akiwemo
Back
Top Bottom