Hiyo ni kazi nzuri ya Tido Mhando
Siamini kwamba chama cha mapanga/aka Kukatana kitashiriki,kumbukumbu 2010 walivyotoka ndukiatarudisha mchakato majimboni,itakua raha sana bg up tido, kazi nzuri sanaaaaaaaaaaaaaa,
Hawa wamekuja kikazi zaidiwapo online bt inasumbua kidogo kimtindo wezama tu utawakuta....jamaa wako vizur na azam two nawapata
Hawa wamekuja kikazi zaidi
Napenda kutoa pongezi zangu za dhati kwa uongozi wa (azam media) kwa kuwa hewani siku nzima ya leo katika kutujuza yanayoendelea dodoma,tofauti na vyombo vingine vya habari, na ihi inatoa picha kwamba kipindi cha kampeni azam media itawashinda vyombo vingine kwa utoaji bora wa habari kwa kina,
mkuu unapataje azamtv oline?
Na mie nawapongeza aisee... television ya taifa chalii