Recent content by jaywacnza

  1. jaywacnza

    Leo nimetafuna bikra, kumbe hazina maajabu

    Hapa kaliwa mwanafunzi au beki tatu mtoto kutoka kijijini Maana kama kazi huna uwez pata demu mjanja bikra Bikra zinatolewa na miaka saba
  2. jaywacnza

    Gari gani zuri la kuanzia maisha?

    Dah, jamaa ana kipato cha 400,000 kwa mwezi chauhakika, ila amemeki amepata kama pesa inayotosheleza kununua gari, aseme ana kiasi gan mkononi, na kama ameweza kumek mpk kununua ina maana kulihudumia ataweza
  3. jaywacnza

    Nilidanganya kuwa mama amefariki ili nipate msaada, roho yangu inahuzunika sana

    Mwamba umetisha shana, Komaa ndugu yangu maisha ndo haya haya, hakuna maisha mingine, ndo tunaishi hivyo
  4. jaywacnza

    Kibanda cha Bati kwenye kaburi la Hayati Magufuli kinatia aibu

    Ila unaonekana mtamu, japojuwa mkorofi
  5. jaywacnza

    Kibanda cha Bati kwenye kaburi la Hayati Magufuli kinatia aibu

    Asili yako ni roho mbaya
  6. jaywacnza

    Kibanda cha Bati kwenye kaburi la Hayati Magufuli kinatia aibu

    Dah, mdada uliyejitoa ufaham katika utawala wa magufuli, nakuinea huruma aisee, Mungu ni muweza wa yote
  7. jaywacnza

    Kutoka Jamvi la Habari: Kitabu nilichosoma na Hafidh Kido

    Mzee mruma ni muislam tangu mwaka 1900, sasa unanchanganya kusema uislam upareni ni 1950s JE WAJUA UKRISTO NDIYO ILIKUWA DINI YA KWAZA PWANI YA AFRICA MASHARIKI NA VISIWANI IKIWEPO ZANZIBAR KABLA YA UISLAM???
  8. jaywacnza

    Je, Siku hizi Polisi ni wataalamu wa jiolojia?

    Inawezekana ni sahihi, kule kunduchi kulikuwa na machimbo ya kokoto, walikuwa wanapasua na mabomu
  9. jaywacnza

    Tupia jina la memba mmoja wa JF ambaye katoweka humu

    Mshana Jr baada ya uchaguzi kupita kayeyuka, nawasiwasi kama sio marehem anyishe mkono juu
  10. jaywacnza

    Tanzania: Adui yetu ni nani na tuna fursa gani za kumshinda? Tunamlenga au tunamkwepa?

    Huwezi kuibadili CCM, bali CCM itakubadili wewe. (Kitila mkumbo, 2017) Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
  11. jaywacnza

    Watumishi wa UMMA tujiandae kuumia tena kwa miaka 5

    Hiyo ni milioni 100 au milioni 10? Kama milioni mia hailipiki hiyo Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
  12. jaywacnza

    GE2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020

    Fala sana we binti Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
  13. jaywacnza

    GE2020 Ahsanteni Watanzania kwa kutuchagua ila tusisahau CCM bila Upinzani ni sawa na Dini bila Shetani, hakuna visingizio!

    Mbona kawaida tu, nchi kuongozwa na utawala dhalimu, yajayo yanafurahisha Sent from my TECNO KD6 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom