Nilidanganya kuwa mama amefariki ili nipate msaada, roho yangu inahuzunika sana

TUENDELEE...

Kuna siku nilipanga nitoroke na kuachana na shule kabisaa nilipanga kutoroka kwa Sababu shule yetu ilikuwa mixture wavulana na wasichana na miongoni mwa wavulana Kuna watambaaji. yaani watu wanaona raha kueneza taarifa zisizowahusu. nilijiandaa taratibu siku moja kabla ya siku niliyopanga ilipowadia nililala mapema na usiku nikawa nawaza tu aina ya maisha nitakayokutana nayo mtaaani. sikujua kabisa pa kuelekea Ila nako kusoma nishaona imeshakuwa jau.

ilikuwa ni weekend, niliamka saa kumi alfajiri nikavaa nguo zangu ambazo siyo sare za shule ( siyo uniform ya darasani Wala siyo shamba dress) nikachukua vitu muhimu tu, tranka, uniform na madaftari nilipanga niviache. mfukoni sikuwa na Hata shilling mia, nilianza safari ya kutembea kwa miguu kwani niliazimia kuwa popote nitakapokuwapo jua likizama nitalala hapohapo. nimetoka bwenini sijavuka Hata uzio nikakamatwa na mlinzi mbaya zaidi ni mlinzi mpya hivyo hatujuaji, bweni lenyewe lipo karibu na nyumba ya makamu mkuu wa shule. Ile shule, mwanafuzi anatakiwa aombe ruhusa ya kwenda mahali popote Hata Kama Ni hatua chache nje ya shule, Sasa kitendo Cha Mimi kukamatwa bila ruhusa na bado hapajakucha ilikuwa ni issue. mlinzi alikuwa Maasai, najaribu kujieleza kwa kimaasa ili Kama atanielewa jamaa amekula msimamo anasema hajui Kama Mimi Ni mwanafuzi na Huwenda nimetoka bwenini kuiba. siku hiyo Kumbe mke wa makamu mkuu wa shule alikuwa anasafiri hivyo waliamka mapema kujiandaa na safari kwani sehemu ya kusubiria basi iko mbali kidogo. kwahiyo mlinzi alipoona mlango wa nyumba ya makamu upo wazi akanipeleka hapo akawagongea. makamu aliitwa nje, Ile tu kutoka nje na kuniona akaniita kwa majina yangu na alishangaa kuniona nipo chini ya ulinzi kwani hajawahi kuniona Wala kunisikia kwenye list ya wasumbufu wa shule. akamuuliza mlinzi kijana ana shida gani hapa Saa hizi, akaambiwa amenikamata nikiwa nataka kuvuka uzio na ana begi mgongoni. mlinzi aliambiwa anipekuwe, begi lilikutwa na surwali moja, t shirt, nguo za ndani na vyeti (academic certificate na living certificate za form four na vyeti vya dini na Cha pccb club). nikaulizwa ulikuwa unaenda wapi usiku Huu nikamwambia mwalimu Nina matatizo makubwa yananisibu nikamuomba nije baadae kumwambia lakini yeye akaniambia anataka nimuambie mda ule ule. ofisi haikuwa mbali wakanipeleka kisha mlinzi akaondoka.

nilimweleza yanayonisibu A to Z Ila niakajikuta nimedanganya kwamba wazazi wote hawapo hai wakati mama yupo na ni mzima wa Afya (mwaka huu amefikisha miaka 67). swala la kudanganya kwamba wazazi wote hawapo hai wakati mama yupo baadae limeniuma Sana na ndiyo kiini Cha uzi wangu. makamu alisikitika sana na baadae muda wa kazi aliitisha kiako na walimu kunijadili, walijitolea kuninunulia mahitaji yote na wakaniahidi nikipata shida yeyote niwaambie, aliteuliwa mwalimu wa kuwasiliana naye ili awasilishe shida zangu kwa walimu wengine. nikaanza ukurasa mpya wa kusoma lakini kitendo Cha kudanganya kwamba wazazi wote hawapo hai wakati mama yupo kinanitesa Hadi Leo na Hata huwa nikiwa kwenye maombi nikikumbuka Hili, najiona Nina hatia kubwa Sana Hata hamu ya maombi inaisha ghafla.

yule kaka yangu niliyemuelezea kwamba alikata tamaa ya kuendelea na. shule, yeye alienda kulima wilaya mojawapo mkoani Tanga, baadae alileta wazo kwamba Mama amebaki mwenywe, kwanini tusiuze shamba lote la manyara na kwenda kununua lingine Tanga na eneo la nyumba na nyumba ikanunie eneo la nyumba na kujenga nyumba Tanga, Mimi nilikuwa bando shuleni tuliwasiliana tu (nilikubaliana naye kwa sababu Hata Mimi nilikuwa sipend mama anavyoishi pekeyake), na wakafanya hivyo. Sasa Cha kushangaza namaliza shule kidato Cha sita mwaka 2017, naenda Tanga nikitegemea nitakuta Mambo yameenda Kama tulivyokubaliana namkuta mama kwenye room ya kupanga, shamba lililonunuliwa ni msitu Sana na haifiki idada ya ekari zilizouzwa kule na kila ekari imenunuliwa kwa bei nafuu yaani pungufu kwa 60% ya lililouzwa kule, Hakuna kiwanja Wala kaka hapatikani wenye simu.nikamuuliaza mama kaka Yuko wapi ananiambia ni karibia miezi 5 hajamuona Wala kusikia sauti yake. baada ya mama kuishiwa mahitaji aliajiongeza akaanza kuuza mboga na matunda pale barabarani. nilishtuka Sana nikajaribu kuulizia alipo Hadi nikampata, nilimpata Morogoro sehemu inaitwa Turiani. Yaani Hata kabla sijamsalimia akaanza kuniambia, mama alikupendelea kukusomesha Mimi hajanisomesha.nikamuambia ndugu yangu mbona wewe mwenywe ni shaidi kwamba Mama hana uwezo wa kipesa na unajua ni Neema ya Mungu tu ndiyo imenisomesha, akasema nimependelewa na mama eti kuwa sababu Mimi Ni mtoto wa mwisho kuzaliwa. alinifukuza nakunitishia kunikata kwa panga. mimi nikarudi kwa Mama. nilipokea pesa za matajiri niwanunulie mahindi alafu siku wakija kuchukua mzigo watanilipa. ndiyo ikawa Kaz yangu nikisubiri matokeo yatoke na baadae kujiunga na Chuo.

kwa bahati mbaya mwaka huo sikupata mkop wa HESLB hivyo nikakwama kwend Chuo. nilijishughulisha na kusafisha shamba na kulima. mwaka huo nilima ekari mbili kwa jembe la mkono na kupalilia mwenywe ambayo nilivuna Gunia tisa. shughuli nyingine niliyofanya mwaka huo ni kufundisha tution wa wanafunzi wa secondary iliyopo karibu kwa kuwachangisha kila mwanafuzi shiling mia mbili kwa kipindi kimoja na niliwapata wanafunzi Hadi ishirini kwa kipindi na niliwapata wanafunzi hao jumamosi na j2. baadae tulisajiliwa rasmi Kama wanakijiji na tulipewa kiwanja chenye ukubwa wa robo ekari karibu na barabara kuu.

mwaka 2018 nilifanikiwa kuanza Chuo baada ya kupata mkopo 100%. nikaanza upya maisha ya kusoma, kwa wanafunzi wenzangu maisha ya Chuo yalikuwa kitonga lakini kwangu Mimi yalikuwa ya wastani kwani nilikuwa najibana Sana. nijiwekea kwamba kila boom ninalopata nahakikisha matumizi hayavuki nusu yake, kwa kweli haikuwa kazi rahisi lakini iliwezekana.

wakati wa likizo nilifanya vibarua vya kufyatua matofali ya Block, kupakia na kupakua tofali, mchanga au cement kwenye malori na kazi za saidia fundi. kila likizo huwa nafanya hizo kazi nilichogundua hizo kazi za manual Zina Ela Ukiwa na nidhamu kubwa kwenye matumizi la sivyo utaona Kama umefungiwa chuma ulete. mfano mdogo kwenye kazi za matofali ya Block tunalipwa la mfuko kila mfuko ni 4,000 na tupo 5. kwahiyo kila mtu atapata 800 kwa mfuko 1 na kwa wastani kwa siku tunapiga mifuko 20. manake 800×20= 16,000. kwa wiki tunafyatua kwa siku 6, kwahiyo 16,000×6=96,000.kwa mwezi tunafyatua kwa wastani wa wiki tatu, kwahiyo 96,000×3=288,000. hapo bado tripu za kupakia na kupakua tofali au morum au mchaga au cement. nilijiwekea kwamba Hadi kila likizo inaisha Nina laki 4 na iliwezekana. changamoto za hizo kazi za mtaaani ni ugumu wake, nguvu nyingi Sana zinatumika, nakumbuka siku za mwanzoni nilikuwa napata uchovu hadi homa kabisa nameza dicloppar na kuingia mzigoni. changamoto nyungine ni ugomvi Kati yetu, yaani Ukiwa mpole unaweza usilipwe pesa zako bosi anatoa Ela alafu wewe wanakuambia Ela yako haijatolewa, kwahiyo mda mwingine inabidi umpasuwe mtu ili kujenga heshima eneo la kazi, wengi wa jamaa niliofanya nao Kazi ni watumiaji wa yale majani membamba hivyo inabidi ni deal nao manually.

Nilibangaiza nikachanganya na boom nikafanikiwa kujenga ghetto la room 2 na senile kwa tofali 4,000 kwenye kile kiwanja tulichopewa na Kijiji. REA walifika Kijijini kwetu mwaka jana, nilivvyopata Field allowance nilijibana Sana na nikatumia kiasi kikubwa kwa gharama za wiring na kulipia fomu TANESCO. kwa Sasa mama anaishi pale nilikojenga na umeme unawaka. Mwaka huu boom la kwanza na la pili nilitumia kujenga Choo simple lakini kwa Kijijini inafaa. Nimebakiza boom moja nimalize Chuo, yaani dah!, na Sina ramani yeyote..ee Mungu nisaidi maana mtaaani ni zaidi ya ninavyopajua hapazoeleki kabisaa!

kwa maswala ya mapenzi niliepuka maana najua ningeendekeza Huwenda nisingefanikiwa kumtoa mama yangu kwenye room ya kupanga. Kuna dada mmoja nilianza naye mahusiano yeye diploma Mimi degree nilikuwa nawaza Mambo yakininyookea baadae nimuoe, niakona mwenzangu ananiorodheshea mahitaji mengi kuliko uwezo wangu nikajitoa kimya kimya. nilivumilia upweke kwa muda na kutokana na ubahili wangu nikajikuta nimeangukia kwenye chama la Wana, japo sipendi huo mchezo lakini Huwa najikuta nimerudia na nikifanya Huwa najilaumu Sana na kujiona nimezingua parefu lakini baada ya siku mbili najikuta nimerudia ujinga. nakuwa serious Sana linapokuja swala la matumizi ya pesa kwa sababu najua jinsi ukapuku unavyofedhehesha. yaani sisi watoto wa kiume tukiwa hatuna Ela tunaonekana takataka mbele ya jamii. ninachoamini ni kwamba kabla sijaondoka duniani namimi nitakula butter angalau nifute Hili jasho hivyo hakuna haja ya kukata tamaa.

nimefupisha hii story kwa sababu ya wengine wanaokwazika humu hivyo hii itakuwa sehemu ya mwisho. nime ommit mikasa mingi iliyotokana na changamoto za maisha mmojawapo ni kutaka kujiua lakini baadae nikaona hakuna haja ya kukata tamaa wakati Mimi siyo mlemavu. Napoleon Bonaparte, aliyekuwa kiongozi wa jeahi la Ufaransa, miaka mingi iliyopita aliwahi kusema, " impossible is a Vocabulary that found only in the dictionary of fools" naunga mkono nukuu hii kwani Hata Mungu hapendi watu wenye mashaka na kukata tamaa.

aluta continua
Mwamba umetisha shana, Komaa ndugu yangu maisha ndo haya haya, hakuna maisha mingine, ndo tunaishi hivyo
 
Kaka utafanikiwa sana trust me sababu ya mambo mawili

1. Baraka za mama yako, am sure kila akipiga goti anakuombea mibaraka
2. Kujicontrol kwenye matumizi ya pesa

Baraka za wazazi zina maana kubwa sana

Nakumbuka niliacha kazi na kuingia kwenye biashara miaka hiyo nikamkuta bro wangu mkubwa ye keshafanikiwa kazin ana magari matatu(lake,la mkewe na la kupelekea watoto shule)

Nilipambana kwenye biashara nikafanikiwa na kununua gari yangu ya kwanza Swift new model baadae nikaanza kujenga(nilimleta mzee ndo akasimamia ujenzi)
Nyumba ilipoisha mzee alipokuwa anaondoka nikajiuliza ni zawad gan nimpe? Atlast nikampa ile gari ili angalau ye na mama wapumzike kupanda boda na kutembea kwa miguu me nikabali sina chochote huwez alin mzee alinitamkia" mwanangu una gari moja na hiyohiyo umeamua utupe wazaz wako wakat kaka yako anazo tatu na hajawah kuwaza kutupatia hata pikipiki tu utabarkiwa sawa)
Ndg naweza kusema baada ya pale milango ilifunguka mpk nikashangaa

Baraka za wazazi ni kitu kikubwa sana
Amen
 
Tumbo la uzazi limeuma nnavyosoma hapa...!
Ukisikia Mungu kumpa baraka mtoto ndo wewe...namuonea gere mama!
Yaani ww nakosa la kusema...una akili safi mno!
Sasa maza anajishughulisha na nini!
Nadrq sana ma last born wakawa na akili kama zako..nadra sana...wengi mapoyoyo balaa...
 
Moderators mbona mmebadili heading ya ya hii story?! Mpo active kufanya Mambo kaka haya lakini hamuwashughulikii wanaotoa lugha chafu kinyume na terms za JF. Angalieni lugha iliyotumika kwenye post number 64 ya uzi Huu
Kuna id ziko masaa 24 kutukana matusi ya nguoni yaan kila akikoment anadhalilisha moderator walaa....hawana habari
 
Kaka utafanikiwa sana trust me sababu ya mambo mawili

1. Baraka za mama yako, am sure kila akipiga goti anakuombea mibaraka
2. Kujicontrol kwenye matumizi ya pesa

Baraka za wazazi zina maana kubwa sana

Nakumbuka niliacha kazi na kuingia kwenye biashara miaka hiyo nikamkuta bro wangu mkubwa ye keshafanikiwa kazin ana magari matatu(lake,la mkewe na la kupelekea watoto shule)

Nilipambana kwenye biashara nikafanikiwa na kununua gari yangu ya kwanza Swift new model baadae nikaanza kujenga(nilimleta mzee ndo akasimamia ujenzi)
Nyumba ilipoisha mzee alipokuwa anaondoka nikajiuliza ni zawad gan nimpe? Atlast nikampa ile gari ili angalau ye na mama wapumzike kupanda boda na kutembea kwa miguu me nikabali sina chochote huwez alin mzee alinitamkia" mwanangu una gari moja na hiyohiyo umeamua utupe wazaz wako wakat kaka yako anazo tatu na hajawah kuwaza kutupatia hata pikipiki tu utabarkiwa sawa)
Ndg naweza kusema baada ya pale milango ilifunguka mpk nikashangaa

Baraka za wazazi ni kitu kikubwa sana
Huyu dogo atakuja kuwa succesful mno mno!
Ulijitoa kuzidi upeo..hongera sana aisee
 
Tumbo la uzazi limeuma nnavyosoma hapa...!
Ukisikia Mungu kumpa baraka mtoto ndo wewe...namuonea gere mama!
Yaani ww nakosa la kusema...una akili safi mno!
Sasa maza anajishughulisha na nini!
Nadrq sana ma last born wakawa na akili kama zako..nadra sana...wengi mapoyoyo balaa...
Kwahiyo sitalaanika tena kwa kumsingizia kifo?!
_____
Yupo tu nyumbani bado hajaacha kuuza mboga za majani na matunda.
_____
Huwa nashangaa Sana Nikiona mtandaoni jinsi tunavyoongelewa sisi maLast born. Wana edit mapichapicha kuonesha sisi tunadeka Sana. Lakini behind the curtain Mambo ni tofauti Sana. Hata tunawaona firstborn wengi Mambo wanayofanya ni ya kawaida Sana.
 
Kabla sijamaliza kusoma huo muendelezo, nikushauri kama unajutia kweli Mungu atakusamehe, na kwa mazingira uliyoonesha kupitia utasamehewa.
Sasa nimesoma mpaka mwisho, watoto wa mtaani wanakwambia mkuu hauna mbaya..

Fanya hivi, madhali mama yupo hai, basi mshirikishe, mueleze kile kilichotokea na ukizingatia yeye anayajua maisha halisi, mueleze mkasa woote.. Naamini atatamka nimekusamehe mwanangu,baada ya hapo utapata ahueni, hili tatizo utakiwa umelizika hapo.

Tafuta namna ya kumuingia kama mama hako ni rafiki yako wa karibu saana, muingie kiurafiki lakini ukionesha unajutia mfano..
Muite muweke chini mueleze unaanza kama masihara kwa tabasamu tena "unajua haya maisha ni kitu kibaya sana, unatabasamu, wakati mwingine tunafanya mambo yanakuja kututesa daima, hapo lazima akuulize kwa nini.. Sasa hapo uso wa tabasamu unatoka unakuja wa simanzi, mueleze kinagaubaga, chozi likija usilizuie liache litiririke, mueleze kiasi gani hiki kitu kinakusumbua"

nakuapia walahi, kama hajakukumbatia na kukwambia amekusamehe, au akakwambia usijali si tatizo kwake, njoo unifyeke kidole changu kimoja.
Ninakueleza nikiwa na experience na hii njia.

Pole kwa yote mkuu, yote maisha mzee, ushukuru mungu amekuepusha na mengi amekupa nguvu za kuepuka maamuzi ya kiboya mfano wake kama kujiua vile n.k.
 
Kwahiyo sitalaanika tena kwa kumsingizia kifo?!
_____
Yupo tu nyumbani bado hajaacha kuuza mboga za majani na matunda.
_____
Huwa nashangaa Sana Nikiona mtandaoni jinsi tunavyoongelewa sisi maLast born. Wana edit mapichapicha kuonesha sisi tunadeka Sana. Lakini behind the curtain Mambo ni tofauti Sana. Hata tunawaona firstborn wengi Mambo wanayofanya ni ya kawaida Sana.
Kutegemea ntu na ntu somo..
Last born wengine ni "wanaharakati kama mkapa shingoni chain ya gold.(fid q)

Hizo ni kauli za mazoea.. Mtu hapewi akili nyingi ama moyo wa kufight kisa eti wa kwanza kuzaliwa big NO.
 
Kwahiyo sitalaanika tena kwa kumsingizia kifo?!
_____
Yupo tu nyumbani bado hajaacha kuuza mboga za majani na matunda.
_____
Huwa nashangaa Sana Nikiona mtandaoni jinsi tunavyoongelewa sisi maLast born. Wana edit mapichapicha kuonesha sisi tunadeka Sana. Lakini behind the curtain Mambo ni tofauti Sana. Hata tunawaona firstborn wengi Mambo wanayofanya ni ya kawaida Sana.
Hakuna laana ya namna hiyo. Uliongea kujidefend upate elimu umsaidie mamako...all the best endelea kukaza dogo..! Tumbo la mama yako lina baraka balaa..una akili za maisha
 
Sasa nimesoma mpaka mwisho, watoto wa mtaani wanakwambia mkuu hauna mbaya..

Fanya hivi, madhali mama yupo hai, basi mshirikishe, mueleze kile kilichotokea na ukizingatia yeye anayajua maisha halisi, mueleze mkasa woote.. Naamini atatamka nimekusamehe mwanangu,baada ya hapo utapata ahueni, hili tatizo utakiwa umelizika hapo.

Tafuta namna ya kumuingia kama mama hako ni rafiki yako wa karibu saana, muingie kiurafiki lakini ukionesha unajutia mfano..
Muite muweke chini mueleze unaanza kama masihara kwa tabasamu tena "unajua haya maisha ni kitu kibaya sana, unatabasamu, wakati mwingine tunafanya mambo yanakuja kututesa daima, hapo lazima akuulize kwa nini.. Sasa hapo uso wa tabasamu unatoka unakuja wa simanzi, mueleze kinagaubaga, chozi likija usilizuie liache litiririke, mueleze kiasi gani hiki kitu kinakusumbua"

nakuapia walahi, kama hajakukumbatia na kukwambia amekusamehe, au akakwambia usijali si tatizo kwake, njoo unifyeke kidole changu kimoja.
Ninakueleza nikiwa na experience na hii njia.

Pole kwa yote mkuu, yote maisha mzee, ushukuru mungu amekuepusha na mengi amekupa nguvu za kuepuka maamuzi ya kiboya mfano wake kama kujiua vile n.k.
I'll try this.
 
Mkuu nimesoma hii hadithi nimekumbuka ile novel ya "Is it Possible?" Nadhani kwasababu umetaja Maasai na Arusha!

Ila all all Mungu Mkubwa! Naona mwanga mbele ya safari ya Maisha yako! Mungu akutangulie.!
 
Back
Top Bottom