Recent content by jaysemkamba

  1. J

    JamiiForums Tanzania Dongo lililojificha kwenda kwa wanaojiita Simba

    Unataka kukimbia wakati huna breki,what do u expect
  2. J

    JamiiForums Tanzania Top 5 ya wasanii waliomake mkwanja mwingi kwa huu mwaka 2016

    post ya team hiyo.Huwezi hata kujengea hoja.Siku nyingine usilete post za mihemko humu
  3. J

    JamiiForums Tanzania Top 5 ya wasanii waliomake mkwanja mwingi kwa huu mwaka 2016

    Ali kiba anakua namba mbili kwenye list.Otherwise list yako ni fake
  4. J

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Ibaki stori na Aje upi mkali?

    umenifanya ni mmisi,mwambie asiogope,Ali ni kipenzi cha watu
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha CHADEMA 'kuimport' viongozi wa Kanda kutoka Kaskazini, je nini nyuma ya pazia?

    unakimbia hoja.Jibu la hoja kama hii ni kutoa sababu zitakazofanya tuamini kinachotendeka si ukanda na ukabila
  6. J

    JamiiForums Tanzania Interview ya Ommy Dimpoz: Bifu lake na Diamond, hastahili lawama

    Jamaa anatia huruma.Sijui kama ni mawazo yangu ila kama vile reaction yake against kuitwa shoga haijakaa sawa.Nafkiri anaogopa alivyoambiwa wanamstiri.Me ukiniita shoga hutasikia nakuongelea vizuri maishani
  7. J

    JamiiForums Tanzania Anguko la uchumi Tanzania: Kampuni binafsi zapunguza wafanyakazi kutokana na hasara

    sio agizo ni matokeo ya anguko la uchumi linalosababishwa na ukosefu ya mbinu za kukuza uchumi.
  8. J

    JamiiForums Tanzania RC Makonda: Nafikiri kuna haja ya kupunguza watumishi Serikalini

    Awasiliane na Magu walifanyie kazi mana serikalo hii imekua kiwanda cha kutengeneza watu wasio na ajira.Hamjatosheka kwa mlioacha kuajiri mnataka mpunguze na walioajiriwa.Hatujui nia ya serikali hii ila inaonekana si nzuri
  9. J

    JamiiForums Tanzania Daktari natafuta kazi

    Yah mkejeli lakini unamtegemea. Kuchagua udr sio kitu cha mchezo ni kujitoa kafara. Kupoteza usingizi kwa ajili ya wengine,kujiexpose na magonjwa mbalimbali kugombana na wenye uelewa mdogo kama wewe mahospitalini nk
  10. J

    JamiiForums Tanzania Daktari natafuta kazi

    ile hospitali aliyotaja ni moja na wenye sifa kama ya huyu Dr wanahitajika watatu tu
  11. J

    JamiiForums Tanzania Daktari natafuta kazi

    uelewa wako ni mdogo sana. umeambiwa miaka miwili hawajaajiri.Watu wako mtaani na hali si nzuri unaropoka. Tumia akili ya kuzaliwa
  12. J

    JamiiForums Tanzania Daktari natafuta kazi

    watu wanaenda ni daktari tu hajaamua. Ila usishabikie hilo mana kumsomesha daktari tena kama private serikali hutumia zaidi ya mill 40. ukimwacha akachukuliwa na nchi nyingine au akakaa mtaani ni hasara mana umeinvest mtaji mkubwa usiokulipa
  13. J

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Aliyekuwa Spika wa Bunge la tisa, Samwel Sitta afariki dunia

    haya si maneno ya kibinadam.Ila pia kwa busara za huyu mzee sidhani kama anaweza kuongea hivyo. Mwacheni apumzike kwa amani
  14. J

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Utalii umeporomoka kwa 48%, Tanzanite 40%...tunakwenda wapi?

    wanakusanya madeni ya nyuma
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mwita Waitara: Kama serikali haijafilisika ni kwa nini haijapeleka fedha za mfuko wa jimbo?

    Kwa uelewa huu kweli unashabikia watu kukosa mkopo.Inatakiwa tusome tuwasaidie watu kama wewe
Back
Top Bottom