Daktari natafuta kazi

Daktari natafuta kazi

Kwa yeyote anayehitaji daktari Morogoro mjini au sehemu yeyote,nipo natafuta kazi,nina uzoefu wa mwaka 1 baada ya kumaliza mafunzo ya vitendo,ni mchapa kazi na naweza fanya kazi bila kusimamiwa,kwa mawasiliano zaidi njoo pm

google mtandaoni chuo cha uuguzi cha ununio wanatafuta watu wa kuwaajiri post za mwezi huu, I think kuanzia jana.
 
nyinyi si ndo mlikua mnajidai eti mnasoma Science.
Tulikua hatujidai tumesoma,ndo maana hata wewe su ndugu zako wanaenda hosp kutibiwa na hao unaosema walijidai kusoma science,
 
Tunaendelea na zoezi la uhakiki. Tukimaliza tutaajiri wachache na wengine wasubirie bajeti ijayo tuajiri tena wachache hivyo hivyo hadi muishe. Umenielewa bibie!?
Noted
 
Si nilisikiaga nyie mnakimbiliaga Botswana sasa wewe unangoja nini kukimbia?
watu wanaenda ni daktari tu hajaamua. Ila usishabikie hilo mana kumsomesha daktari tena kama private serikali hutumia zaidi ya mill 40. ukimwacha akachukuliwa na nchi nyingine au akakaa mtaani ni hasara mana umeinvest mtaji mkubwa usiokulipa
 
We ni daktari feki au vp? Maana watu hata wenye basic certificate ya clinical medicine sijawahi sikia wana tapatapa Kama ww na MD yako sijui ya nchi gani hio, utakuwa hauko sawa wewe..!!!

Nina wasiwasi Na vyeti vyako mkuu
uelewa wako ni mdogo sana. umeambiwa miaka miwili hawajaajiri.Watu wako mtaani na hali si nzuri unaropoka. Tumia akili ya kuzaliwa
 
pia nakushauri kuwa jaribu kupitia kwenye hospitali ambazo zipo mkoani mwako na kuulizia nafasi nauhakika utapata maana hyo fani yako inauhitajI sanak atika jamiii
 
watu wanaenda ni daktari tu hajaamua. Ila usishabikie hilo mana kumsomesha daktari tena kama private serikali hutumia zaidi ya mill 40. ukimwacha akachukuliwa na nchi nyingine au akakaa mtaani ni hasara mana umeinvest mtaji mkubwa usiokulipa
Sasa unaongea nn Mkuu? Kama hiyo serikali haitaki kuwaajiri wakae tu wasubiri kudra za M/Mungu mpaka lini...!! 40Mil. iliyotumika si sawa na kusimamisha maisha ya mtu ukamfanya awe tegemezi kwa nduguze mwaka mzimaa
 
uelewa wako ni mdogo sana. umeambiwa miaka miwili hawajaajiri.Watu wako mtaani na hali si nzuri unaropoka. Tumia akili ya kuzaliwa
Kwa bahati mbaya hujui unaongea Na nani..
Nnacho kisema nnamaanisha acha kuropoka kijana,...
Unajudge uelewa wangu wakat we mwnyewe matatizo Tu hahahahaha..!!
 
Yah mkejeli lakini unamtegemea. Kuchagua udr sio kitu cha mchezo ni kujitoa kafara. Kupoteza usingizi kwa ajili ya wengine,kujiexpose na magonjwa mbalimbali kugombana na wenye uelewa mdogo kama wewe mahospitalini nk
Mkuu na ndo hawa hawa hua wanakuja wanalia lia hosp
 
pia nakushauri kuwa jaribu kupitia kwenye hospitali ambazo zipo mkoani mwako na kuulizia nafasi nauhakika utapata maana hyo fani yako inauhitajI sanak atika jamiii
Ahsante Euca
 
Siwezi kukimbia...nina nyonyesha mkuu
assume uko vitani, weka mtoto mgongoni, funga vyeti tumboni vuka boda. ukikaa hapa unyafuzi utawahusu wewe na mwanao.
refugee-baby-being-passed-from-the-boat.jpg
 
Ghafla.....
Nimejikuta namkumbuka binti yangu ambae amekua naishi kusema kwamba lazima akasomee uganga....
Bora hata yule boy anae kesha akisema anatamani kua fundi mitambo kama mimi baba yake, pengine itaniwia rahisi kumtengemeza ili ajue kujitegemea huku kitaa....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom