I isho_boy JF-Expert Member Sep 22, 2015 2,145 1,887 Dec 1, 2016 #1 Hivi kati ya hizi ngoma mbili ipi imeimbwa ki-ustadi zaidi kuanzia mashairi na melody tutupe ushabiki pembeni tuongee na reality kabisa Karibun jamvini
Hivi kati ya hizi ngoma mbili ipi imeimbwa ki-ustadi zaidi kuanzia mashairi na melody tutupe ushabiki pembeni tuongee na reality kabisa Karibun jamvini
J jaysemkamba Member Oct 25, 2016 23 23 Dec 1, 2016 #3 umenifanya ni mmisi,mwambie asiogope,Ali ni kipenzi cha watu