Recent content by JayK

  1. JayK

    AIR MSAE: Mnalikumbuka hili basi?

    Siku Hizi wanajiita METRO COACH. . Wanayo Yutong moja ya kijani....
  2. JayK

    WAZIRI MKUU PINDA: Maiti wote wa mlipuko wa Bomu watazikwa na Serikali!!

    Comment nzuri ila Rangi uliyotumia kwenye font inaleta kichefuchefu.. imekaa ki CCM zaidi
  3. JayK

    Stanbic bank tanzania kunani...

    Kuna tetesi kuwa menegiment yote ya Stanbic Bank Tanzania imefukuzwa kazi kwa sababu mbalimbali ikiwemo Wizi uliotukuka.. Mwenye habari kamili tafadhali atujulishe ***
  4. JayK

    mke wa mtu ani pm

    AZINIYE NA MWANAMKE HANA AKILI KABISA....( Mithali 6: 32-33) Wanaume wengi hawana akili kabisa najua hata hapa wanasoma hii coment lakini hawaelewi....hii ndo sababu ya msingi. ( kwa wasomaji wa bibilia wanaujua sana huu mstari... sijui kama msaafu na wenyewe una hii reference)
  5. JayK

    Tukio la majambazi kupora fedha Ubungo Mataa

    Hao wanaobeba hela nyingi mikononi siku hizi wanatoka wapi.. Benki ziko kila kona.. una hela nyingi contract security service za kubeba hela.. once umewakabidhi risk inakuwa kwao..hata zikiibiwa getini kwako watakulipa. watu tubadilike tuache kuahangaika na cash. Kutuma TISS ni 2 hrs hela...
  6. JayK

    Tahadhari kwa wanaume wazinzi

    Hii nimekutana nayo leo kwenye phone bible yangu. Mithali 6:32-33 Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake. Atapata jeraha na kuvunjiwa heshima; Wala fedheha yake haitafutika. *************** Najaribu kufikiria tu ni wanaume wangapi humu jamii...
  7. JayK

    Onyo kwa mnaoendesha magari kupitia kitonga iringa

    Pole nilipotea kidogo. 2H: Gari inakuwa kwenye hali yake kawaida. maanake ni kuwa iko kwenye 2 wheels and you can go at high speed. inakuwa haijaengage fourwheel. Hii option inapatikana sana kwenye magari ya manual.
  8. JayK

    Onyo kwa mnaoendesha magari kupitia kitonga iringa

    Sina uzoefu mkubwa barabarani ila nishaendesha safari ndefu kama Dar- Arusha km 650 mara nyingi Sababu kubwa za ajali nilizoona ni hizi hapa: 1. Watu kudhani magari yao yana nguvu sana na kutaka kuovateki kila gari analoliona mblele yake 2. Kuovateki kwenye kona na kwenye milima 3. Magari...
  9. JayK

    Onyo kwa mnaoendesha magari kupitia kitonga iringa

    Jamii Forum Iko juuu.. Kujibu hapo juu. Hiki kirungu unachozungumzia H4 na L4 ni kwa ajili ya four wheel drive. H4 ni pale ambapo unatumia four wheel but at a higher speed. kwa hiyo inaenda na D L4 ni kw speed moderate kila gari ina specification za speed limit unapokuwa kwenye four wheel. L4...
  10. JayK

    Do's and Dnt's kama unalipenda Gari lako

    Asante mdau.. Unajua tena hivi vitu unaandika haraka haraka usiiibe sana muda wa Mwajiri... Cheers
  11. JayK

    Criminals in the street! Hii Maana yake Nini? Au ndo Uhalifu waziwazi..

    Hii nimekutana nayo mitaa ya kinondoni asubuhi ya leo. Gari hili inaonekana registartiona namba yake halali imefunikwa kwa kubandika hii juu yake. Kwenye kii inasomeka namba T925AGP Nimejiuliza yafuatayo sijapata jibu. 1. Je jamaa alitoka kufanya tukio usiku akasahau kuzitoa? 2. Ama ndo...
  12. JayK

    Do's and Dnt's kama unalipenda Gari lako

    Dos and Donts1.Acha accelaration za haraka haraka.. 2.Inspect na usafishe Oxygen sensors, MAF sensors 3.Badislisha air cleaner kila unapofanya service.. kwa mazingira ya wengi wetu ( ukiacha wa masaki) kuipuliza na upepo haitoshi.. cant get it clean 4.Usioshe na Sabuni kali za detergent...
  13. JayK

    Huduma ya Sim Banking ni janga CRDB

    Hakikisha una salio kwenye simu yako kabla ya kufanya sim banking ya bank yoyote ile. Standard SMS/ or call rates apply so kama hauna credit kwenye simu lazima upate ujumbe huo? Wewe unadhani kampuni ya simu wanapataje hela kama sio kukucharge for that connection??
  14. JayK

    March 04 2013: Kenya's historic poll - Kenya decides!

    watu msiwe mnaleta habari hapa kabla ya kuzisoma vizuri. waliouawa sio kwenye tukio la uchaguzi.. it is a different storry.. Pale Mombasa kuna kikundi kinasadikiwa ni cha kiislam.. chenye kuwa karibu na vuguvugu la Muslim Brotherhood ambao wanataka kujitenga na Kenya.. wanataka Mombas iwe...
  15. JayK

    Gharama za kusajili gari hapa tanzania

    Kwa gari za kawaida isiyoizidi 2000cc ni shilingi laki tatu tu.. (TZS 300,000/=) hope that helps you out
Back
Top Bottom