Recent content by Jay2525

  1. Jay2525

    JamiiForums Tanzania Kupanda kwa Bei ya chakula na dhana ya kufunguliwa kwa Mipaka Nchini

    Na Taban J Kumekuwa na nadharia kuwa, kupanda kwa bei ya mazao ya chakula kumesababishwa na kufunguliwa kwa mipaka. Jambo linalo pelekea mazao ya chakula kubebwa na majirani zetu wa Uganda na Kenya hivyo kusababisha upungufu wa chakula na kupelekea bei ya mazao kupanda. Huku lawama ikibebeshwa...
  2. Jay2525

    JamiiForums Tanzania BACHELOR OF ECONOMICS AND FINANCE

    Masomo yamegawanyika sehem mbili yaani Economics na Finance Economics: Microeconomics (I)& (II), Macroeconomics(I)&(II), Economentrics, Mathematical economics,Financial economics &Environmental economics wakati kwenye finance : Accounting,Money Banking & Financial Institution , International...
  3. Jay2525

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kivita zinavyompaisha Membe

    Jambo hilo huenda likawa ni miongoni mwa kero za Mungano
  4. Jay2525

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kivita zinavyompaisha Membe

    Asante, umenijenga pia kwa kunitia moyo. Sasa nagundua kuwa kuna watu muhimu kama,wanaothamini uchambuzi wangu.
  5. Jay2525

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kivita zinavyompaisha Membe

    Nimesoma mara mbili mbili kama sio mara tatu tatu, niseme tu nashukuru saana kwa kunitia moyo. Nahidi kuendelea kuandika chambuzi nyingi zenye tija kwa jamii yangu .Kwani ulimwengu wa vita vya silaha umepitwa na wakati tupo kwenye ulimwengu wa vita vya hoja.
  6. Jay2525

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kivita zinavyompaisha Membe

    unauhakika na usemalo?
  7. Jay2525

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kivita zinavyompaisha Membe

    Kiongozi umempa majibu makali usije kumsababishia msongo wa mawazo. Akona hata Jamiiforum anafukuzwa
  8. Jay2525

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kivita zinavyompaisha Membe

    Atakufa atae mpinga Jakaya, Du! hatari saana
  9. Jay2525

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kivita zinavyompaisha Membe

    Du Swala la #Koroshow nalo kama series ya kihindi
  10. Jay2525

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kivita zinavyompaisha Membe

    Kabisa naona huenda ni lle mbinu ya kumhadaa adui asijue mtandao wako (deception technique). Mwisho Rostam akaungana na Membe
  11. Jay2525

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kivita zinavyompaisha Membe

    Nadhani kajifunza kupitia Experience kwani 2015 alijichanganya akatangzaza Mapema jambo lililo pelekea kuonywa na kamati ya maadili
  12. Jay2525

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kivita zinavyompaisha Membe

    Sio dhambi na katiba haijakataza. Sema ni Mapokeo flani yanayo dumishwa na chama kuwa mhula wa pili Raisi alie hudumu mhula wa kwanza apite bila kupingwa ndani ya chama
  13. Jay2525

  14. Jay2525

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kivita zinavyompaisha Membe

    Duuh!
  15. Jay2525

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kivita zinavyompaisha Membe

    Membe hajasema chochote kuhusu kuutaka urais. Kuhusu CDM au ACT kumchukuwa sidhani kwani bado wana maumivu ya Mzee Edo, wanonesha support kwa Membe ili CCM wavulugane "If your enemy is united divide him...Sun Tzu"
Back
Top Bottom