Ulimwengu Mbaya
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 1,218
- 840
Nitampima membe kwa hoja itakapofika wakati
Hoja yako ni ipi hapo ndugu ?? Maana umezungumzia mambo mawili yasiyo na uwiano.Mkuu hizo negativity ulizozungumza kuhusu Membe ni kweli kabisa, ila ni nusu tu ya tabia za jiwe, ila tu humzungumzi kuhusu hizo tabia kisa huwa unajipendekeza kwa kiongozi aliye madarakani.
Hoja yako ni ipi hapo ndugu ?? Maana umezungumzia mambo mawili yasiyo na uwiano.
Hiyo siyo hoja ni kioja.Hoja yangu hapo ni acha kujikomba boss.
Ila Magufuli atakuwa zaidi ya Membe,kwa matukio tunayoshuhudia awamu hii?sijaona mahusiano ya hizo mbinu za kivita na ulichokizungumzia juu ya Membe.
Membe nitamkumbuka kama aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya nje kipindi tulichokuwa na migogoro na nchi za Rwanda na Malawi, zaidi ya hapo sina ninachokumbuka kumhusu huyu mtu.
Ninachoona kwake ni mtu anaye endekeza siasa za makundi na anayeamini katika matabaka.
Vile vile asiyemvumilivu kisiasa kwani kipindi kile anataka kugombea alituambia wazi kuwa akifanikiwa kuwa Rais maadui Zake 11 watahama nchi.
Vile vile kesi yake na Musiba ni kiashirio kingine cha ukosefu wa uvumilivu kisiasa unless anataka kuitumia hiyo kesi kama Jukwaa la kumrejesha katika lingo za kisiasa.
ili kujua kuwa Membe sio mvumilivu kisiasa kauli ndogo tu ya Rostam imetosha kabisa kumfanya aweke hadharani mipango yake ya kugombea Urais 2020.