BACHELOR OF ECONOMICS AND FINANCE

Masomo yamegawanyika sehem mbili yaani Economics na Finance
Economics: Microeconomics (I)& (II), Macroeconomics(I)&(II), Economentrics, Mathematical economics,Financial economics &Environmental economics
wakati kwenye finance : Accounting,Money Banking & Financial Institution , International finance& corporate finance,

Sambamba na masomo core, Utasoma masomo general kama: Business law,General study, Research methodology, Ethics, Strategic management.
Kimsingi mpangilio wa masomo unategemea prospectus ya chuo husika. Lakini pamoja na utofauti uliopo masomo nilio yataja ni common kwa vyuo vyote vitnavyotoa kozi husika.
Kwani kwa sasa kozi hii inatolewa na vyuo viwili yaan: University of Iringa Zaman Tumaini na Institute of Accountancy Arusha.
 
Back
Top Bottom