Recent content by jau jau

  1. jau jau

    Ushauri: Nipo first year, nataka kusoma CPA

    Kuna watu wanasoma CPA na degree kwa wakati mmoja....na wewe unaweza kuwa mmojawapo?
  2. jau jau

    Wanetu hawajui gololi kila kitu ni ready made!

    Kidu na Mali na bento vyotevyote[emoji23][emoji23][emoji23]
  3. jau jau

    JamiiForums Usiku wa manane

    Kwa I**a
  4. jau jau

    JamiiForums Usiku wa manane

    Nazama chumvini uvinza,utamu umezidi mpaka umepitilizaaaaa
  5. jau jau

    Mbona matokeo ya CPA yamechelewa hivi?

    Habari za Jioni mkuu?
  6. jau jau

    Namtafuta Beatrice Francis

    Ah haaaa haaa haaaa jF kuna vituko
  7. jau jau

    New member in town

    Eti Nyu memba ini tauni?? Wamekwambia humu ni mjini? Ila karibu sana utaenda unaelewa taratibu jinsi ya kuandika uzi vizuri.
  8. jau jau

    Hatimae nimejiunga Jamiiforums

    Si ajabu ulikutana na Uzi wa mzizi mkavu... Ulikuwa ugonjwa gani huo? Sa muda mwingine acha kugoogle dalili ,nenda hospitali kabisa... Karibu sana lakini
  9. jau jau

    Hatimae nimejiunga Jamiiforums

    Jamaa upo kila uzi
  10. jau jau

    Hatimae nimejiunga Jamiiforums

    Ulikuwa unagoogle uchawi nini? Ukawa umekutana na Uzi za mshana Jr.
  11. jau jau

    Utafiti kuhusu misemo ya wanawake.

    Huyo anapenda shortcut sana...sehemu yoyote yenye giza anaweza akatoa papuchi
  12. jau jau

    Nini tafsiri ya hii ndoto?

    Subiri mshana Jr aje
  13. jau jau

    Wanafunzi wa O-level na A-level

    Acheni maneno wakuu naona mmepakazia mpaka wanafunzi wamekaa kimya....hili ndilo jukwaa lenye watu wa kuwasaidia na sio kuwatenga kama mnavyosema. Na huu ni muda wa likizo wakuu
  14. jau jau

    Wanafunzi wa O-level na A-level

    Wale wanafunzi wa O level na A level nchini Tanzania tukutane hapa tujuane. Muombe ushauri kwa yanayokwaza huko shuleni and let us share our experience mkiwa huko shuleni. Haya uwanja ni wenu.
Back
Top Bottom