Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,743
Asante mkuu kwa kunijuza ..Certified Public Accountant. Ni mitihani inayotolewa na Bodi ya wahasibu na wakaguzi Tanzania
Asante mkuu kwa kunijuza ..Certified Public Accountant. Ni mitihani inayotolewa na Bodi ya wahasibu na wakaguzi Tanzania
Agreed mkuuUhasibu mainly based on doing not leading....CPA holder wengi hatujui kuongozi tunajua kufuata bosi anasemaje,IFRS inasemaje,sheria zinasemaje labda zaidi tunajua kupika Financial reports tuu ili kupendezesha kampuni in the stock exchange market ila kupata share holders wengi zaidi...lakini tukipewa jukumu la uongozi wengi wanafeli hatujuagi kupanga mikakati wengine wafuate tunajua kufuata mikakati ya wengine.