Recent content by jassone jasper

  1. jassone jasper

    NSSF

    Je naweza kuhama NSSF na kujiunga na PSPF? cha msingi ninachotaka hela zangu zote zilizoko nssf zirudi kwenye akaunti ya pspf naomba msaada wenu kama kuna uwezekano mnielekeze jinsi ya kufanya
  2. jassone jasper

    Naombeni ushauri wenu na tiba

    Hiyo ndo tiba au ushauri?
  3. jassone jasper

    Naombeni ushauri wenu na tiba

    Nina vidonda kichwani miezi mitatu sasa nimemeza dawa Griseofulvin 1 kila siku kwa muda wa siku 15 ila bado tatizo ndo linazidi kuwa kubwa. Doctor ushauri wako please
  4. jassone jasper

    Nimepata SMS kutoka halotel ila sijaielewa naomba msaada

    Nimepata sms kutoka halotel ila sijaielewa naomba msaada wa kunielewesha namba yao waliyotumia kunitumia ujumbe huo ni 0621398629. YOUR CELL NO. HAS WON YOU £850,000 IN DON GOING 2017 PEPSI MOBILE DRAW IN UK, TO CLAIM; SEND YOUR NAME, AGE & NUMBER TO pepsicsms@outlook.com
  5. jassone jasper

    Ni solar gani inauwezo wa kuwasha taa saba, feni, Tv na radio ?

    Ni solar gani inauwezo wa kuwasha taa saba, feni, tv, na radio
  6. jassone jasper

    Match live

    Ni program gani naweza kudownload nikapata match live
  7. jassone jasper

    Mtu anayeanza kufanya mazoezi ya 'Push ups' maumivu ya misuli yanaisha baada ya muda gani?

    Je mtu anayeanza mazoezi ya push up maumivu ya masosi za mikono yanaisha baada ya muda gani au ni endelevu?
  8. jassone jasper

    Hivi kupiga push up kunachukua muda gani ili misuli ya kifua na mikono itanuke?

    Hivi kupiga push up kunachukua muda gani ili misuli ya kifua na mikono itanuke??
  9. jassone jasper

    CCM kuanzisha TV na redio zao

    Mungu tuhurumie
Back
Top Bottom