Sio za chama nizawanachamaTBC STARTV RADIO FREE NA UHURU FM NI RADIO ZA CHAMA
Inasikitisha sana kunawatu wanakura mlo mmoja2 kwa sikuMkuu nadhani mada yako inafurahisha ila picha inahudhunisha.
"Mtakula hata nyasi ndege ya Rais lazima inunuliwe
Hahaha! Hivyo ving'amuzi vyao watanunua makada tu.Haya yamesemmwa jana na mkuu mpya wa chama hicho na ameshangaa kwanini hadi Leo CCM haina hata Television miaka 50 baada ya Uhuru.
Nasubiri kununua king'amuzi spesheli kwa ajili ya CCM.
Hahaha,wanaona wakianzisha Tv magazeti ya mkuu wao yatakuwa hayanunuliwi.Naomba kujulishwa mpango wa CHADEMA kuwa TV yake uliishia wap makamanda
Sent from my HTC One_M8 using JamiiForums mobile app
Mara nyingi jambo lililo akilini mwa mwenzio haliumizi kichwa kama lililo akilini mwakoNatamani kujua hatima ya huyu mtoto ni mojawapo ya picha zinazoumiza mno View attachment 380862
Samahani kidogo. Kuna uhusiano gani wa habari uliyoileta na hiyo picha ya huyo mtoto? hivi mliwahi kuona wenzetu wakiwaonesha watu wao hivyo, ama unahisi huko huwa hakuna shida? Acha utumwa uanze kuishi kwa kutumia akili yako aliyokupa muumbaHaya yamesemmwa jana na mkuu mpya wa chama hicho na ameshangaa kwanini hadi Leo CCM haina hata Television miaka 50 baada ya Uhuru.
Nasubiri kununua king'amuzi spesheli kwa ajili ya CCM.
Wanajisumbua tuu mbona TBC,Kama ni yao vile auduh nimependa uwasilishaji wa mada yako big up!