Ni solar gani inauwezo wa kuwasha taa saba, feni, Tv na radio ?


jassone jasper

jassone jasper

Member
Joined
Aug 23, 2014
Messages
12
Likes
5
Points
5
jassone jasper

jassone jasper

Member
Joined Aug 23, 2014
12 5 5
Ni solar gani inauwezo wa kuwasha taa saba, feni, tv, na radio
 
A

Adilinanduguze

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Messages
291
Likes
211
Points
60
A

Adilinanduguze

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2014
291 211 60
Habari zenu wadau wapi naweza pata Solar Unit ambayo
1. Inaweza run pump ya kisima (iliyozamIshwa )
2. Bulb zisizozidi 6
Nataka kujua ni watts ngapi zitatosheleza ?
Na solar panel za ukubwa gani zitatosha ?
Jee itagharimu kiasi gani ?
HP 2. Kisima urefu 70m
 

Forum statistics

Threads 1,214,124
Members 462,499
Posts 28,502,013