Naombeni ushauri wenu na tiba

Aug 23, 2014
12
5
Nina vidonda kichwani miezi mitatu sasa nimemeza dawa Griseofulvin 1 kila siku kwa muda wa siku 15 ila bado tatizo ndo linazidi kuwa kubwa. Doctor ushauri wako please
 
Back
Top Bottom