Recent content by jasperis

  1. jasperis

    JamiiForums Tanzania Ana marafiki wengi wa kiume kuliko wa kike

    sio kwa kutaka tu...kuna na kushawishika pia. ukute kakufanyia mengi na kukusaidia makuu..kiulain tu unaliwa kwa kisingizio eti .."amekua mwema sn kwang cwez kumkatalia chochote"
  2. jasperis

    JamiiForums Tanzania Ana marafiki wengi wa kiume kuliko wa kike

    but most of the time
  3. jasperis

    JamiiForums Tanzania Ana marafiki wengi wa kiume kuliko wa kike

    huo ni urafiki kati ya paka na panya..any time panya ataliwa tu
  4. jasperis

    JamiiForums Tanzania Pay stubs za mshahara wa Rais

    tatizo kubwa watanzania wengi na viongozi wa serikali wanaishi na kuongoza nchi kwa hisia..kwaivo jambo likitokea linafunika mambo muhim ya nyuma. na hii ni hatari sana coz nchi itaongozwa kwa hisia na sio mipango madhubuti
  5. jasperis

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa JF ni wanaume hewa?

    [emoji23] zngine znatumia vestline
  6. jasperis

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa JF ni wanaume hewa?

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  7. jasperis

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa TAMISEMI kuhusu ajira za walimu

    uko sahih mkuu
Back
Top Bottom