Ana marafiki wengi wa kiume kuliko wa kike

Ni nini hasa kinakishawishi najua wakati Wa Shule ilikuwa ni discussion groups lakn kwa sasa nini hasa utakimiss iwapo utakaa mbali nao
Ongea nae mwambie unakosa amani yeye kua na marafiki wengi wa kiume kuliko wa kike.... Binafsi nimezoeana na wakiume zaidi
 
Ni nini hasa kinakishawishi najua wakati Wa Shule ilikuwa ni discution group lakn kwa sasa nini hasa utakimiss iwapo utakaa mbali nao
Siwezi kuelezea hilo kiurefu ila nionavo jinsia ya ME wako peace sana,ni rahisi kujenga nao urafiki hawana longolongo.

Na sio kwamba nabagua kusema sipendi urafiki na jinsia yangu ila imetokea kuelewana zaidi na ME japo imekaririwa hakuna urafiki kati ya ME na KE bila kujiingiza mapenzini
 
Na Mara nyingi nyie hamtongozeki yaan hata kuangalia chini hamuangalii au kusugua kidole chini mnakuwa wakavuuuu, hadi ME rika yako anaona aibu mwenyewe kama anawazo hilo ,na ME akizidi matani anakula kichapo sijui na UKo ivo

Ha haa tukizoeana like friends ni ngumu mimi kukubali mtongozo wako.
 
Siwezi kuelezea hilo kiurefu ila nionavo jinsia ya ME wako peace sana,ni rahisi kujenga nao urafiki hawana longolongo.

Na sio kwamba nabagua kusema sipendi urafiki na jinsia yangu ila imetokea kuelewana zaidi na ME japo imekaririwa hakuna urafiki kati ya ME na KE bila kujiingiza mapenzini
huo ni urafiki kati ya paka na panya..any time panya ataliwa tu
 
Back
Top Bottom