Ana marafiki wengi wa kiume kuliko wa kike

Ana marafiki wengi wa kiume kuliko wa kike

sio kwa kutaka tu...kuna na kushawishika pia.
ukute kakufanyia mengi na kukusaidia makuu..kiulain tu unaliwa kwa kisingizio eti .."amekua mwema sn kwang cwez kumkatalia chochote"
 
hata mm marafiki zangu wengi ni wanaume, wanawake ni wa4 tu sijui
 
Back
Top Bottom