Recent content by jason baby

  1. J

    JamiiForums Tanzania Tulio na bibi/babu wenye vituko na vibwanga tukutane hapa

    Bibi yangu mimi sifa yake kubwa uchoyo, wakati tupo wadogo tulikuwa tunakaa naye kijijini yaani watoto wake wakieanda kumtembelea mkimpelekea chakula mjue hatopika mpaka waondoke akibaki mwenyewe ndio anapika eti wanavila sana mjini, so watoto wake wanamjua hivyo wanampekea vyakula...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Hatimaye kumekucha WCF

    Naomba ya call center officer mkuu, kila nikufungua yanakuja majina ya senior compliance officer
  3. J

    JamiiForums Tanzania Ajira za walimu mwaka huu

    Nahitaji 0714438523
  4. J

    JamiiForums Tanzania Educational games and toys

    Nauza educational games and toys kama vile puzzles,phonic and math cards,animal toys, blocks and lego,number and letter set na vinginr vingi vya dizain hiyo vyote ni vya mtumba but vupo kwenye hali nzuriz , ni nzuri kwa mazingira ya shule kwa watoto wa awali na hata majumbani kama unataka plz...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ni mtanzania yupi maarufu zaidi?

    Dr John P Magufuli
  6. J

    JamiiForums Tanzania Allerg ya vumbi na harufu

    ahsante,nipo dar ndiyo irritants ndiyo nini?
  7. J

    JamiiForums Tanzania Allerg ya vumbi na harufu

    Habari wana jamvi hili, mimi ni mama wa miaka kadhaa, ninatatizo la allegy ya pua, koo, macho na masikio kwa muda mrefu. Yaani harufu kidogo pamoja na vumbi tu ikinipitia naanza kupiga chafya na kupata mafua, masikio nayo yanawasha balaa, najitahidi nisiingize kitu masikioni ila nashindwa...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Allerg ya vumbi na harufu

    habari wana jamvi hili,mimi ni mama wa miaka kadhaa,ninatatizo la allegy ya pua,koo,macho na masikio kwa muda mrefu,yaani harufu kidogo pamoja na vumbi tu ikinipitia naanza kupiga chafya na kupata mafua ,masikio nayo yanawasha balaa,najitahidi nisiingize kitu masikioni ila nashindwa maana...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Wapi kwa Tanzania wanalipwa mishahara mirefu?

    braeburn international school nao wapo vizuri ,mwalimu wa nusery anakula dola 2200
  10. J

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    JF bana watu wanapenda jokes hahahaaaa
  11. J

    JamiiForums Tanzania Australian Awards to Africa

    habari zenu wanajamvi, naomba kuuliza kama kuna mtu aliyesoma kwa schorlaship ya australia anipe taarifa mchakato wake unavyokwenda, wanataka GPA iwe ngapi etc, pili ningependa kujua ubarozi wao upo wapi kwa hapa dar es salaam, ahsante
  12. J

    JamiiForums Tanzania I am looking for editor and book translator

    Kama utahitaji proofreader nipo hapa
  13. J

    JamiiForums Tanzania Updates kutoka TBS

    habari wanajamvi ,kwa wale waliofanya interview TBS kuna anayefahamu majibu yatatoka baada ya muda gani? natanguliza shukrani...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Interview uhamiaji (mkaguzi msaidizi) ni vyeti tu vinahusika au hadi barua ya mtendaji wa mtaa?

    jmn hamna hata mmoja aliyefanikiwa kujibu swali hapo,mdau ameuliza hivi,siku ya interview abebe vyeti tu au na barua ya mtendaji ?kwa wale walioona kwenye magazeti watupe maelekezo maana wengine tumeona majina humu humu
Back
Top Bottom