EMII
Member
- Jul 11, 2016
- 69
- 34
Nmekosa cha kukujibu coz nahic ntafungwaWahitimu mtalalamika hadi lini?
Tumieni elimu yenu kujiajiri!
Pia mashamba yapo mengi sana itakua vizuri zaidi mkaingia katika kutuzalishia mazao ya chakula na biashara

Ukijua hilo litakusaidia nini?hivi ww ulishawahi kulima
Jibu nini wakati umekosa cha kujibuNmekosa cha kukujibu coz nahic ntafungwa
Mlikimbilia kulima nyanya hatimae yameoza.unataka walime nn na wapi na mashamba nani katoa huo mtaji umewapa au wanaenda kulima zao la chakula?Wahitimu mtalalamika hadi lini?
Tumieni elimu yenu kujiajiri!
Pia mashamba yapo mengi sana itakua vizuri zaidi mkaingia katika kutuzalishia mazao ya chakula na biashara
yani ww ni nanga kweli huelewi lolote ya zero bogus head eti unifundishe mmUkijua hilo litakusaidia nini?
zaidi sema tukupe elimu ya kilimo pia unaweza kwenda jukwaa la kilimo elimu bure inatolewa
Wewe umetengeza ajira ngapi?au nawewe ni kama wale maprofesa wamekalia vijana jiajirini wakat hata kibanda cha mpesa hanaWahitimu mtalalamika hadi lini?
Tumieni elimu yenu kujiajiri!
Pia mashamba yapo mengi sana itakua vizuri zaidi mkaingia katika kutuzalishia mazao ya chakula na biashara
Sasa kama huelewi Abc za kujijiari kwanini usifundishwe?yani ww ni nanga kweli huelewi lolote ya zero bogus head eti unifundishe mm
Wewe umejiajiri,acha umburula na ufisiemu,semeni tu kwamba mmefilisika.Wahitimu mtalalamika hadi lini?
Tumieni elimu yenu kujiajiri!
Pia mashamba yapo mengi sana itakua vizuri zaidi mkaingia katika kutuzalishia mazao ya chakula na biashara
Ndio maneno yao, huku watoto wao wakipewa mitaji ya kwenda kufanya biashara dubaiUnapowaambia vijana wajiajili ww jiulize kwanza umewawezesha wangapi ktk hiyo kazi unayosema wakajiajil au ndy upo ofsn na kiti cha kuzunguka huku unasema vijana wajiajili,
Nyinyi ndo wa kwanza kuzunguka mbuyu mkisikia kuna nafasi za ajiraAcheni mawazo potofu ya kuajiriwa
Kila mtu akiwa mkulima nani atanunua kwa mwenzie!? Alafu nawashangaa sana mnaosema ooh wahitimu mjiajiri kwani mnadhani hao wahitimu wanapenda hali wanazopitia sasa? Alafu kujiajiri sio jambo la kuamka asubuhi na kunyanyua vyuma ni jambo linalohitaji mtu kujipanga akusanye mtaji, wengi wakishamaliza vyuo wazazi huamishia tumaini la misaada toka kwa Huyo huyo muhitimu asiye na Mbele wala nyumaWahitimu mtalalamika hadi lini?
Tumieni elimu yenu kujiajiri!
Pia mashamba yapo mengi sana itakua vizuri zaidi mkaingia katika kutuzalishia mazao ya chakula na biashara
Nahitaji 0714438523MWALIMU MSAIDIZI WA SOMO LA KISWAHILI ANAHITAJIKA CLASS 1 TO 3
Ualimu umekuwa changamoto sasa, tunaiomba serikari ,ianzishe utaratibu Mpya was kutoa elimu ya vitendo mfano uashi,uvuvi, kilimo ,veta, na taaluma zingine ,hivyo kupunguza idadi kubwa ya vijana ,kukimbilia ualimu,Uhakiki rasmi unaisha lini?
Au shida siyo uhakiki?
Lini tunawekwa wazi?
Kuachwa hewani bila taarifa rasmi ni hatari kwa afya ya wahitimu!
Tutakanushiwa hadi lini jamani!!
lazima utakua mchawi tu, wape ardhimsimu wa kilimo umekaribia nenda kaandae shamba!