Recent content by jasiri shayo

  1. J

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Tupo busy shambani kaka, Bado tunapambana. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. J

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Serikali isione haja ya watumishi wa umma kufanya kazi kwa mikataba ya muda mfupi?

    Mkataba mfupi ndio wa muda gani? Na je ni lazima watu wote waajiriwe? Walioajiriwa nao wanawatamani waliojiri wenyewe, Haloo haya maisha hayana usawa.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Ali Express wanatumia local delivery company gani Tanzania ukitoa Posta?

    Hapa unamchanganya huyu mdau, yeye anataka kujua mzigo wake anaupataje. Nadhani ungempa mawazo namna ya kufanya.
  4. J

    JamiiForums Tanzania ONYO kwa wanaonunua simu humu

    Hongera kwa kuwa makini, watu wanafanya ubabaishaji wa hali ya juu. #Umakini bado unahitaji.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Dar coach hapa tuwape pongezi jamani

    Ubunifu wa hali ya juu sana. Naipongeza hii kampuni kwa jinsi wanavyo boresha mahitaji ya sisi wasafiri wa mabus. Tanzania ya viwanda bora inawezekana.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Yalitaka kutokea mauaji ya Halaiki Hapa Magomeni muda huu

    Natamani nione picture jinsi ulivyotupia hilo vazi...[emoji4]
  7. J

    JamiiForums Tanzania CAG aongea na Wanahabari. Serikali Kuu kulikuwa na mapendekezo 91, mawili tu ndiyo yametekelezwa, neno "dhaifu" kuendelea kutumika

    Umenifurahisha mkuu... Sent using Jamii Forums mobile app
  8. J

    JamiiForums Tanzania Je, mwaka 2045 Tanzania inaweza kuwa na uchumi mkubwa kuliko nchi zote Afrika?

    Sidhani kama kuna ukweli wowote hapo. Tuwapite kwamba hao watakuwa hawajengi uchumi wao wanatusubiria sisi? sijui umepata wapi hili wazo?
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mimi Demiss nimemaliza mwezi bila kusex maajabu!

    Laiti haya yaliyoandikwa yangekuwa ya kweli... Sent using Jamii Forums mobile app
  10. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kumtolea mahari, kejeli na kiburi vimeonekana wazi

    Nimetamani kufahamu uzoefu wako katika mahusiano, na lingine ni umri wako iliniweze sema ma/neno. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba cha kupanga dodoma mjini

    wadau kwa anayejua sehemu chumba self contain kinapatikana Dodoma mjini, anijuze ni wapi pamoja na bei yake. Ahsante. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba cha kupanga dodoma mjini

    wadau kwa anayejua sehemu chumba self contain kinapatikana Dodoma mjini, anijuze ni wapi pamoja na bei yake. Ahsante. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta chumba cha kupanga dodoma mjini

    wadau kwa anayejua sehemu chumba self contain kinapatikana Dodoma mjini, anijuze ni wapi pamoja na bei yake. Ahsante. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. J

    JamiiForums Tanzania America na Ulaya watu weusi bado wapo, Je kwa nini Uarabuni hawapo?

    Karibia machozi yanidondoke kwakuona huu uonevu. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom