Recent content by JARUT

  1. J

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mna bahati ile kadi imetutoa mchezoni. Pia hongereni kwa kucheza pouwa.
  2. J

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Jana baada ya Mafake hopers kuona Caicedo kupewa Red Card walisema wote ukumbini na kusema Baaàaaaassss. Chelsea inakufa 5 leo. Hawakujua kama mwenye team yake yupo beki kisiki James Reece. Kijana wangu aliwapoteza kina Mchele hawakuamini mziki wake🤣🤣🤣🤣
  3. J

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Akitaja unitaq nipo hapa 🤣🤣🤣🤣
  4. J

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Ivi kuna siku mnakosa sababu.....Gabriel angekwepo angefunga? KWani chelsea hajacheza consecutive tough match? Mnabahati ile red imewasaidia leo mgelala na 4 kama siyo 5🤣🤣🤣🤣
  5. J

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🏃🏃
  6. J

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂
  7. J

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mnatamani mpete japo kimoja wapo hapo lakini bado. Pambaneni sana na mvuje jasho kweli kweli
  8. J

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Katika pita pita zangu nikakutana na hii. Arsenali bado sana kwa Chelsea. Mnasafari ndefu sana kufikia haya mafanikio.
  9. J

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mna bahati ile kadi imetutoa mchezoni. Pia hongereni kwa kucheza pouwa.
  10. J

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Bro kumbe unaiwazia chelsea? Baada ya kumfunga kilema west ham unaona umeyapatia maisha siyo. Jana tu umepigwa 6 na PSV. Binadamu wanasahau haraka sana
  11. J

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Vingereza dot com wananyenyendwa bila kukicha. Jana pakty 4 zimeisha. Mnapigwa mpakaa mnachakaa
  12. J

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Kocha apewe muda wa miaka 5 mingine ni mzuri sana. Yupo smart. Ametupa ubigwa. Na this time anatupa kwa mara ya pili tena. Sasa mmekuwa wagawa uroda tu kila timu mnampa yote adi raha
  13. J

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Huo msatari wa Mwisho ndiyo ya muhimu chief......mimi napenda Boli na mara nyingi penda pale penye Mvuto mfano leo akili zangu zote nitaelekeza kwenye mechi ya arsenal na Bayern. Jana nilienjoy Bali kati ya vijqna wangu Chelsea na Baka. Na kilichonifurahisha zaidi kwenye mechi ile jinsi CUcu...
  14. J

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mkuu mi naamini gemu ya leo itakuwa na mvuto na itakuwa gemu murua kabisa. Leo wote wote wapo attention na mechi ya Arsenal na Bayern kama ilivyokuwa jana kwa Barcelona na Chelsea. Watazamaji wengi wataangalia mechi hii kama ilivyokuwa jana kwa Chelsea na Baca So kwangu naona kabisa ni mechi...
  15. J

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kitu ambacho wengi hawaelewi ni kwamba chelsea inawachezaji ambao wana uchu na vikombe pamoja na mafanikio kila mchezaji aliyeoko Chelsea anatamani ashinde na afanikiwe
Back
Top Bottom