Mkuu haya yapo kibao Tegeta yanapakia sementi kiwanda Wazo mbele ya kituo cha polisi bila kufanywa chochote, mara kadhaa yameuwa watu maeneo ya mteremko wa wazo kwa kukatika breki yakiwa na shehena ya sementi
Unakosea sana kusema wote,kwa nn hujasema mapadri wanaozaa nje ya maagano yao? Je yule alietangazwa juzi kushiriki ujambazi, tuseme ni mapadri wote? Mungu mwenyewe hatoi hukumu general bali anasema( 'kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe'
Nakumbuka miaka kadhaa iliopita serikali ilipiga marufuku Hiace kufanya long trip sababu ya kusababisha ajali nyingi kutokana na mwendo mkali na mambo mengine single tairi nk, imekuweje tena Noah kupewa vibali vya kusafirisha abiria? Tumeshuhudia au kusikia jinsi gari hizi zinavyomaliza watu...
Wadau kusema ameacha mke mmoja na wajane wawili ilikuwa kumfurahisha nani? Kwama mhusika hakuficha wakati wa uhai wake kwa nn wengine wafiche kwa faida ya nani? Tuache unafiki
Ni kweli vodacom wanaboa, kuna wizi wa waziwazi tunahamia halotel ni rahisi, ni takribani mwezi sana napokea msg za kuwa nimechaguliwa kwa kwa droo ya wiki hii! Wiki yenyewe haifiki!
Ingawaje kwa zama hz haionekana kufunction lkn ukweli unabaki plpl kuwa kuna makabila wanawezana wenyewe kwa wenyewe mwingine akiingia aidha ni mme au ke ni lazima alizwe tu! Fanya utafiti kabla ya kuchagua
mkuu kila kitu kina kanuni zake , kanuni ya kupata mke ni ua Kimungu soma kitabu cha Mwanzo 2:18-24 naye atakuwa na sifa hizi katika Mithali 31:10-31 siku njema mkuu
Kama unataka kupata uzoefu anza na kuku wachache ya nyama km 200 , niko tayari kukupa free consultation; nina uzoefu wa 10 yrs sasa nilianza kidogo kidogo lkn nimekuwa naongeza idadi ya kuku wa nyama na mayai na kununua vyakula direct toka viwandani
Someone said that life is what happens to you while you're making other plans. Slowly I'm learning that there is redemption in every moment, as God uses each minute for his glory and our good. It's hard to think of a biblical hero who didn't take a detour on the way to his or her...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.