Recent content by Japhet Karibu

  1. Japhet Karibu

    JamiiForums Tanzania TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

    RIP Kijazi
  2. Japhet Karibu

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Rais kwa mwaka 2025 napendekeza awe Kassim Majaliwa au Selemani Jafo

    Kama kichwa cha habari kinavyosema hawa waheshimiwa wawili ambao ni viongozi wakuu serikalini ningependa kuona mmoja kati ya hao wawili aje kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwani wana uthubutu katika kufanya maamuzi magumu.
  3. Japhet Karibu

    JamiiForums Tanzania Trump: We will be back in some form

    Aende zake
  4. Japhet Karibu

    JamiiForums Tanzania Robert Amsterdam unayaona yanayotekea Marekani?

    Nimeshangaa hadi wafuasi wa Republican kuvamia maeneo ya Bunge
  5. Japhet Karibu

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Geita Mjini anatia mashaka. Anataka kusema Musukuma ni muongo?

    Kiuhalisia kwa nini saombe kununua gari ya million 400 wakati akijua wananchi wana mahitaji mengi sana na hiyo pesa ingepelekwa kwenye shida za wananchi kwa kiasi kikubwa ingetatua matatizo mengi ammeshaliwa kichwa nampongeza sana Mheshimiwa Rais kwa hatua aliyoichukua
  6. Japhet Karibu

    JamiiForums Tanzania Traffic wanabambikia watu faini, unaletewa meseji kwenye simu kwamba umepigwa faini na gari halijaenda popote

    Mimi nimefanyiwa hivyo makosa matatu na penati laki na themanini uzuri trafiki alipiga faini kimakosa namuandama kila siku ayalipe yeye ameshalipa mawili bado moja
  7. Japhet Karibu

    JamiiForums Tanzania Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli ateua Baraza la Mawaziri lenye Wizara 23. Aunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari

    Katika baraza la mawaziri lililotangazwa leo, je kwa maoni yako ni waziri yupi ambaye uteuzi wake utatenguliwa mapema sana kuliko mawaziri wengine.
  8. Japhet Karibu

    JamiiForums Tanzania Hilda Newton weka akiba ya maneno

    Huyu dada amekuwa kama Vuvuzela
  9. Japhet Karibu

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu: Wabunge wa CHADEMA wa Viti Maalumu waliapishwa kwa mujibu wa Sheria na Katiba, CHADEMA isiwaguse

    Namuona Lissu na Mnyika kwa mbali wakiachana na siasa
  10. Japhet Karibu

    JamiiForums Tanzania Mambo ya CHADEMA yanatia kizunguzungu

    Kaza moyo
  11. Japhet Karibu

    JamiiForums Tanzania Kiongozi wa Marekani aitaka nchi yao kuwa na uhuru wa demokrasia kama Tanzania

    Kiukweli kwa yanayotokea Uganda dunia haina budi kutuona kuwa tuna demokrasia nzuri
Back
Top Bottom