Pendekezo: Rais kwa mwaka 2025 napendekeza awe Kassim Majaliwa au Selemani Jafo

Japhet Karibu

Member
Feb 27, 2020
79
129
Kama kichwa cha habari kinavyosema hawa waheshimiwa wawili ambao ni viongozi wakuu serikalini ningependa kuona mmoja kati ya hao wawili aje kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwani wana uthubutu katika kufanya maamuzi magumu.
 
Wala hatuhitaji Rais Kibaraka. Tunahitaji Rais ambaye atakuwa na hofu kwa Baba Mungu wa Mbinguni. Na siyo yule mungu mtu wa hapa duniani.

Hatuwezi tena kuwakabidhi nchi watu waongo, wabinafsi, wanafiki, wakatili, wasio heshimu haki za wengine, wadhulumati, na wabaguzi!
 
Kama kichwa cha habari kinavyosema Hawa waheshimiwa wawili ambao ni viongozi wakuu serikalini ningependa kuona mmoja kati ya hao wawili aje kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwani wana uthubutu katika kufanya maamuzi magumu.
Wewe ni mjinga sana.Rais hupendekezwa?Je, uchaguzi wa rais umeshafanyika? Uwe unatumia akili.
 
Back
Top Bottom