Recent content by Japhet gombe

  1. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA wameshindwa kumchunguza Heche?

    Upo sahihi Kabisa je watu kama Habibu Mchange na said Mwaipopo wanaweza kuwa na Nia Nzuri kweli ya kuisaidia CDM?
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA wameshindwa kumchunguza Heche?

    Hawajashindwa kumchunguza Heche lakini hakuna mwanachama hata Mmoja ambaye anaweza kuthibitisha kuwa amepeleka malalamiko rasmi Lisu aliwashutumu baadhi ya watu kuhongwa fedha na aliambiwa athibitishe kapeleka uthibitisho ukajadiliwa kwenye vikao vya chama kwahiyo wao wanaotoa shutuma wakiitws...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Makazi ya Mungu ni yapi? Yupo katika umbo lipi? Kwanini hakuna tangible proof ya uwepo wa Mungu

    Mungu anaishi mbinguni ila Kuna mbingu Aina mbili Kuna mbingu ya kiroho na mbingu ya kimwili .Mbingu yakiroho ndiyo yenye Mungu aliye unba mbingu na Dunia na malaika zake wanao ishi huko wote ni watakatifu na pindi tukiwa na shida na mateso tunakimbilia huko kuomba msaada.Mbingu ya...
  4. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA TUNAPIGANIA MARIDHIANO YA DOLA NA Watanzania. Tusikate tamaa. Ndoto ya haki karibu itatimia

    Kwani Sasa waliopo madarakani na kiduku wanatofauti gani
  5. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA TUNAPIGANIA MARIDHIANO YA DOLA NA Watanzania. Tusikate tamaa. Ndoto ya haki karibu itatimia

    Unachoongea kwa Sasa kinawezekana kinadharia lakini kivitendo hakiwezekani Abadani.Mimi nawapongeza ACT kwakufikia kiwango hicho walicho fikia kwa siasa za Sasa kwani kwa Sasa siasa za kistaarabu kama hizo mnazo zitaka nyie hakiwezekani hata kidogo humu nchini Aidha mkubaliane na matakwa ya...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mambo 7 Yaliyokubaliwa Katika Maridhiano ya Zanzibar

    Kwanza niwape hongera kwa hatua mliyofikia ila haya ni maridhiano baina ya ACT na CCM yakugawana vyeo na posho sijui kama yananafuu yoyote kwa mwananchi wakaida wa Zanzibar kwahiyo Mimi niwatakie ulaji mwema.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Nyahoza: Barua yetu kwa CHADEMA inasema kusimamisha chama kwa muda, sio kufuta

    CDMIkiwa huru inawakosesha Raha sana nadhani watafarijika wakiifungia wakisikia mahali tu inafanya mkutano hawalali lakini kuwanyamazisha watu ni jambo baya sana ukiziba njia zote zakupumilia Aidha huto mtu afe au atapetape
  8. J

    JamiiForums Tanzania Je, kuna mtu yeyote aliyewahi kushuhudia na kuthibitisha uchawi? Njoo tuongee hapa!

    Uchawi upo na wachawi wapo ila siyo kwa jinsi ambayo wanasimulia watu.kua mchawi anaweza kupita kwenye pembe ya ukuta au mchawi anaweza kuruka na ungo au mchawi anaweza akakuonyesha mbaya wako kwenye kibuyu Kisha akamchoma kisu akafa la hasha uchawi Auko hivyo.Uchawi ni Elimu ya kuogofya watu...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Prophet IPM anahubiri injili gani?

    Yesu akisema Yale niliyoyasikia nakuyaona kwa Baba yangu yote nimewapeni kwahiyo Kila mtumishi anatoa Yale alio yaona nakupewa kwa Baba yake kwa hiyo kama humuelewi unapaswa kuacha tu kumfuata kwa sababu Ktk ulimwemgu Huu Kuna wababa wengi wengi ila Baba wa wote wenye mwili ni Mmoja naye ni Mimi...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Lissu wamfungulia kesi Kamishna wa Magereza na Mkuu wa Gereza kuu la Ukonga

    Hata hai magereza wakiambiwa wasiweke vikwazo wakiamua wataweka na hakuna mtu wakuwafanya kitu kwa sababu hawafanyi kwa matakwa Yao ila kwa kuagizwa wafanye hivyo
  11. J

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua shetani alipo ni kwenye Betting

    Shetani wapi wa Aina mbili wa kimwili na wakiroho wakiroho ni yule unaye mtengeneza kwenye mawazo yako machafu wa kimwili ni wewe ukishakubaliana na hayo mawazo yako mabaya kwahiyo uamuzi ni wako wakushirikiana naye au kutoshirikiana naye.Na malaika ni hivyo hivyo wapo Malala wa kimwili na...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Jopo la Mawakili wa Said Issa Mohamed watoa tamko wakisisitiza CHADEMA haitakiwi kujihusisha na siasa

    Chadema kinaendeshws kwa mujibu wa sheria hilo wewe unalotaka labdo uazishe genge lako
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mimi Pascal Mayalla Sipongezi Kutafuta Uteuzi Wowote!. Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine Kumtia Moyo Kwa Mazuri ya Kweli!

    Mimi nikutakie kila la kheri katika kazi zako na Mungu azidi kukubariki. Kumsifia Rais siyo kosa na wala si kikigezo cha kuwa unajikomba ili kumrubuni kwakutumia kalamu ili upate wadhifa wowote. Kwanza watu waelewe kuwa wewe hii kazi ni taaluma yako ambayo umeisomea na kupratise kwa mda mrefu...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki wa kuchovya: Tulipewa elfu kumi kumi tukapande miti.

    Upo sahihi
Back
Top Bottom