Recent content by Janvansina

  1. Janvansina

    JamiiForums Tanzania Je Atheists wanaweza kuwa wagonjwa wa akili?

    Sungura wanaozungumz hawapo kwasababu sijawai kuwaon. Najua pia ulitak nithibitish hivi ili nipate jibu kupitia swali lako. Lakin yote kwa yote yote naona kama unapinga ili kutaka kujua zaidi na ni kama unafany udadisi kupitia mawaz ya watu ila itabaki kuwa hivyo mamb ya mungu yamekaa kiimani...
  2. Janvansina

    JamiiForums Tanzania Je Atheists wanaweza kuwa wagonjwa wa akili?

    😀Mimi nataka kukupa challenge sio kwa ubaya lakin. Ww nithibitishie kwa hoja moja kuwa mungu hayupo bila kutumia hoja za kisayansi maan hizo hoja zimewekwa na watu. Mim natak hoja yako ww
  3. Janvansina

    JamiiForums Tanzania Je Atheists wanaweza kuwa wagonjwa wa akili?

    😀😀 Sidhan kama anayo maneno ya kukushawishi. hivi vitu vimekaa kiimani sana. Rumi 10-17 Basi imani, chanzo chake ni kusikia; na kusikia huja kwa neno la Kristo.
  4. Janvansina

    JamiiForums Tanzania Ipi simu yenye kamera nzuri kwenye low light budget ya 350k mpaka 700k used?

    Pixel 7 plain - 480,000 - 520,000 Pro. - 630000 mpk 700k
  5. Janvansina

    JamiiForums Tanzania Ipi simu yenye kamera nzuri kwenye low light budget ya 350k mpaka 700k used?

    Uzi mzuri sana huu lakn kwa mm sishaur mtu anunue pixel hasa 8 na kushuk chin. Juzi nimeenda kariako na kupita maduk kadhaa kila pixel niliyoikagua kupitia IMEI nikakuta zote feki na information zimefungwa sikuelewa kwanini
  6. Janvansina

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Google Pixel 7 Pro na Pixel 7 (Plane)

    Shukrani sana mkuu kwa uchambuzi mzuri
  7. Janvansina

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Google Pixel 7 Pro na Pixel 7 (Plane)

    Ndio simu zinazofaa kwa matumiz yangu kwasasa mkuu na gharam zake nafuu
  8. Janvansina

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Google Pixel 7 Pro na Pixel 7 (Plane)

    Kumbe ishu kubwa zaidi ni gharam. Lkn mbon zimetofautian kdg san
  9. Janvansina

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Google Pixel 7 Pro na Pixel 7 (Plane)

  10. Janvansina

    JamiiForums Tanzania Maisha niliyonayo natamani hadi kufa

    Embu fuata haya maelekezo kaka
  11. Janvansina

    JamiiForums Tanzania Atakaye Jaribu Kuandamana Atajuta na Kuilaani Siku Aliyozaliwa. Amani Na Usalama Wa Taifa ni Lazima Vilindwe kwa Jasho na Damu ili Visitoweke

    Umenifurahisha ulipomalizia kwa kwa kusema mama ametukuka kwa kugusa maisha ya wanyonge. Aisee kwa Mara ya kwanza naanza kuhisi uwenda uchawa si kazi rahisi Kama nilivyokuwa nafikiri
  12. Janvansina

    JamiiForums Tanzania Kumficha Baba wa Mtoto lila ugomvi ni uamuzi sahihi au la?

    Mama Yako alikuficha usimjue baba yako ?
  13. Janvansina

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

    Mtu kukemea uovu ndo amehukumu? Na mbon uzi mzm umetumia kumkuosoa gwajim huku ukijifany haupo upande wowote.hay bs mm nakujib askof gwajim ni mtumish wa mungu.
  14. Janvansina

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    😂 Ww arseanal alikuwa na plan ya kubebe makombe mann msimu huu. Huoni arteta alivyochukia na mashabik kuondoka uwanjani
  15. Janvansina

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    😂😂 sema man city Leo imecheza tofauti tusiilaumu arsenal. Yan Leo city walijigawanya pande mbili, wanaoshambulia na wengine walikuwa krb na high line hawatoki😂
Back
Top Bottom