mimi huwa nashangaa jambo moja hapa hivi kwanini wanawake huwa wanaisi kuwa wao walizaliwa kwajili ya kupewa na mwanaume tu nahili swala limekuwa hatamwanake awe napesa asipo pewa pesa na mwanaume anajiona hajakamilika kuitwa mwanamke hivi nyie nani kawaroga acheni hizo bana
M-mbabe,
Kwani hapo baya ni lipi kawaambia wazini si kawambia waowe sasa hapo baya ni lipi hebu acha upuuzi na wewe yani nyie mmeinuwa masiki juu mnasubiria kitu magufuli aseme nanyie mje nyuma yake mkafie mbelehuko muacheni raisi wetu.
Maboya wa wazungu wanasubilia mpaka wazungu waongee ndipo waamini Sisi tunae mwana sayasi hapa na tuna muamini sababu hao wazungu wana lisubiria juwa kwa ham
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.