Recent content by jani

 1. jani

  Nimeamua kuoa Msabato

  Unaoa dini eeh! Tunakupa mda
 2. jani

  Fatma Karume: Sheria inayokataza mapenzi ya jinsia moja imepitwa na wakati

  Hivi mjue hatuna maji ya kutosha ya kuoga, umeme nao uko mguu ndani mguu nnje...kweli kabisa mnakua na mda wa kujadili ushoga?!
 3. jani

  Ana maana gani huyu Binti?

  hahah, unasema unamtafuta kuongeza 'marafiki' lakini una quote wimbo wa msanii unaosema 'usilazimishe PENZI'..aah basi, tushakuelewa!
 4. jani

  Hii imekaaje kwa mpenzi anayekupa kiasi fulani cha pesa halafu ndani ya siku mbili anaomba 75% ya pesa aliyokupa

  Alafu mkiitwa wabinafsi mnaona mnaonewa! angekuwa mbahili angekupa hiyo hela?
 5. jani

  Kumekucha: DAWASA yatoa ratiba ya mgao wa maji Dar es Salaam

  Pole mkuu, ndio maisha tuliyoyachangua
 6. jani

  DAWASA yatangaza mgao wa maji Dar es Salaam

  Kwenye Njaa na nzige em rudi tena kwenye kumbu kumbu zako Nzige wadaiwa kuingia Tanzania na Uganda - BBC News Swahili na Rais Magufuli: Tumieni mvua na barabara kujipatia kipato - BBC News Swahili (zingatia tarehe)
 7. jani

  Kwanini ukiwa single unahangaika sana kupata mwenza wa kuanza naye mahusiano?

  Hii kitu kitaalam inaitwa mwenye nacho na aongezewe
 8. jani

  Nisaidieni, umasikini wa familia unanitatiza

  Mkuu, Kwanza pole kwa whatever unachokipitiia, ila firkiri kwa undani zaidi, kukopa milioni 32, kugharamia 'aibu' na 'hadhi' kama kuna thamani sawa na mateso utakayoyapitia kipindi chote cha mrejesho wa huo mkopo! Ni bora ujinyime kwa kusave kiasi fulani cha fedha , yuje kukimiza malego maana...
 9. jani

  Je, nitakuwa nimevunjika uume kwa hali hii?

  mkuu, shida hya hospitli ni ataanzaje anzaje kumueleza dactari!
 10. jani

  Kwa wanaume ambao mlikuwa na kazi lakini sasa hamna na wake zenu ndio wanaoendesha familia mliwezaje kutoboa?

  Heshima itarudishwa na uwezo wako wa kuweza kuhudumia familia yako tuu mkuu, huko ndiyo weka nguvu zako zote, hawawezi kukuheshimu bila hilo, maana hawakuuimbiwa hicho
 11. jani

  Dkt. Mpango: Kuna wana CCM wanahujumu ujenzi wa SGR na Bwawa la Nyerere

  watu hatari sana hawa, mpaka wanamsikitisha dr. mpango bana!
Top Bottom