Heshimu kila kitu Kama kilivyo!

Heshimu kila kitu Kama kilivyo!

Hakika, tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Mkuu, Huku Africa hii perception yako ita justify uzembe wa madaktari wakati wa uzazi pia.
Ingekuwa sahihi basi hatukuwa na haja ya kuimprove matatizo watu wanayozaliwa nayo, kama midomo sungura, matege na vinginevyo kwasababu hao watu wamazaliwa hivyo kwa sababu maalum!
 
Maumbile yanayo onekana na kila kitu mpaka kisicho onekana vipo kama vilivyo bila kukosewa hata punje!!!

Tambua hakuna lililo kosewa !!! Ukimuona mtoto kazaliwa na Cancer au yoyote kazaliwa na ulemavu au mtu Ana teseka kwa lolote jua KUWA hivyo ndio inavyo paswa KUWA...hakuna anae onewa kwa lolote...kinacho kufanya uone kama anaonewa ni akili yako inayo tafuta sababu katika kila Jambo!!!

Intelijensia ya uumbaji ni kamilifu isio na doa hata kidogo ...Tujifunze kuyaona Mambo na kuheshimu kila kinacho tokea Hapa ulimwenguni, yote hapo sawa kabisa ..

Mengine hutokea ili kukufunza wewe au wanao kuzunguka, na kama msipo jifunza , SoMo Hilo litajirudia mpaka mtakapo jitambua.

Ukjifungua mtoto mwenye shida furani labda ya ugonjwa jua inawezekana ni mtoto karudi Tena duniani kulipa karma (dhambi zake) au wazazi na wanao mzunguka wapate SoMo ...hakuna linalo kuja kwa bahati mbaya..

Kila unapo ona kuna Jambo ambalo si sawa kwako na kwa yeyote . kaa kimya na omba hekima katika ulicho kiona bila kuweka hisia zako ndani yake....usiwe mwepesi kuweka sababu zako za lawama juu ya lolote...HAKUNA ANAE KOSEA CHINI YA JUA!!!

YOTE YAPO SAWA HATA KAMA YANAUMIZA!!!
Nimekuelewa sana mkuu. Nafikiri kama wale watu wanaofanya kazi kwenye secta ya afya wanavyoona mengi ambayo sisi huku nje ya chaki hatuyaoni au hata kuyawaza wangekua wanakosoa au kumlaumu Mungu sidhan kama wangekua wanasali. Kila kitu kipo sawa👍
 
Hamna kitu hapo, labda wajinga ndiyo watamuelewa.
Mtoto kazaliwa na matatizo ya kiafya halafu useme eti "ni sawa ilipangwa hivyo"
Umepata ajali useme eti "ni sawa ilipangwa hivyo"
Huyo mpangaji wa mambo ni nani?
Ni mungu? Mbona tunaambiwa ni mwenye upendo wote?
Sasa kwanini aruhusu mambo ya kuumiza kiasi hicho?
Mungu kwakweli hayupo.
Maisha yenyewe yanaenda tu kwa kutegemea mazingira na siyo kumtegemea Mungu.
Kwan nan kakuambia kupata ajali ni kitu kibaya , kuna wengne tunatengeneza mageneza watu wakifa ndo mda wetu wakuweka Tonge mdomoni , hakuna kitu kibaya dunian ni kutojitambua tu ndo kumekufanya uone ni ubaya
 
Back
Top Bottom