Recent content by JANGWANK

  1. JANGWANK

    JamiiForums Tanzania PICHA: Athari za mvua jijini Dar es Salaam

    Khatari kabisa
  2. JANGWANK

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Atajisikia vizuri iwapo utaendeleza mtiririko wenye kuleta maana
  3. JANGWANK

    JamiiForums Tanzania plz plz naomba msaada kwa wale watalamu wa hili

    We unataka usaidiwe nini? Unafanya zinaa na kibinti cha watu? Muogope mungu kwa uchafu wa zinaa! Ukimwi,kaswende nk vinakunyemelea watch out! Ushauri wangu kwako fuata utaratibu unaokubalika na uende mukamuone doctor kwa hilo!.
  4. JANGWANK

    JamiiForums Tanzania Mswati is the most happiest man on planet

    Hivi king Mswati ana imani ya dini kweli? Na kama anayo dini gani anaamini au dini yake mwenyewe?
  5. JANGWANK

    JamiiForums Tanzania Kadandia mtumbwi wa vibwengo.

    Hapo ndipo utapojua umuhimu wa kuwa na namba za simu za ndugu zako! Inaonyesha huyu jamaa hakuwa na namba ya dada yake
  6. JANGWANK

    JamiiForums Tanzania Kadandia mtumbwi wa vibwengo.

    Nimependa post zako zote
  7. JANGWANK

    JamiiForums Tanzania Kadandia mtumbwi wa vibwengo.

    Zenith we ni noma upo juu
  8. JANGWANK

    JamiiForums Tanzania Kituko kuhusu teja

    Du kaka wewe ni noma!
  9. JANGWANK

    JamiiForums Tanzania Mkojo hurutubisha ngozi?

    Ninachofahamu mkojo ni uchafu (najis) Nitafanya utafiti juu la hili swala! Kwa sasa siegemei upande wowote!
  10. JANGWANK

    JamiiForums Tanzania September 11 remembered in NY City

    Nini maana ya mujahidina!
  11. JANGWANK

    JamiiForums Tanzania Fiesta 2011

    Mh shetani anatega vibaya mitego yake! Mwanadamu yupo hatarini!
  12. JANGWANK

    JamiiForums Tanzania Jamani habari ndio hii, mchana kweupeeee

    Rihana anamatatizo ktk akili yake! Sidhani kama yupo sawa!
  13. JANGWANK

    JamiiForums Tanzania Acheni roho mbaya mpeni Marks zake

    Anadalili zote za umalaya! Kama asinge expose picha zake hivi! Anatafuta? Ni kinyume na ustaarabu na maadili ya imani! Simfagilii.
  14. JANGWANK

    JamiiForums Tanzania Nimfanyeje huyu dada?

    Ulikuwa na sababu ya msingi sana ktk misingi ya dini ndio iliyokufanya uwache kufanya usheteni! Kama ulishajuwa kufanya hivyo (kudhini) ni makosa (dhambi) na ukajizuia sasa muoe ukamilishe malengo yako! Unataka ushauri gani? Unataka shetani akushauri kupitia JF uzini sio? Muogope muumba wako...
  15. JANGWANK

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete kuwajibishwa na serikali ya Marekani?

    Ama kweli sasa udini umekithiri mpaka hali inatisha! Unafiki wenu umepitiliza! Mna ushahidi gani nyinyi? Mimi ninaishi hapa Chadema Markaz na huo msikiti wa markaz ndio ninao swali swala zangu zote! Na hao watoto wanasoma hapo tunao muda wote hakuna jingine zaidi ya kuhifadhishwa elimu ya Quran...
Back
Top Bottom